Mkoa wa Lindi maisha gharama sana

Mkoa wa Lindi maisha gharama sana

Hata siwezi kurecommend sehemu kwa sababu unajua lindi mjini ilivyokaa ni kama uchochoro tu sehemu moja ni hills sehemu moja ni beach kwa hiyo lindi mjini hakuna sehemu utaishia zaidi ya beach tu kuchezea mchanga na kaupepo.....sasa kama ni beach halafu weekdays hakuna vibe umepishana nalo ila chungulia tu makuti beach rahaleo,kisha mashujaa,magereza club labda na paris kidogo night kupata vitu ndo basi muelekeo unabaki wa kwenda MT tu mtwara kidogo machimbo yapoyapo
Mashujaa wapo offline zaidi ya miezi sita sasa
 
Lindi samaki bei poa sana, samaki ambae utamnunua maeneo mingine kwa 40k, kwa Lindi utampata kwa 25k.
Huko ukinunua ngisi wa 10k uhitaji kitu kingine zaidi ya maji ya kunywa, Lindi samaki bei nafuu ukilinganisha na maeneo mengine ambayo samaki wanapatikana.
Hivi hizi bei nyie mnazipata wapi?
Au Lindi mnayoijua ninyi sio tunayoijua sisi?

Lindi hadi ndizi ni gharama vibaya sana hao Samaki unaweza kukaa mwezi mzima hujawala kama mshahara wako ni 700k

Embu niambie wapi nitapata hao Ngisi kwa 10k niwafate leo naishi Hospital ya mkoa hapa
 
Hivi hizi bei nyie mnazipata wapi?
Au Lindi mnayoijua ninyi sio tunayoijua sisi?

Lindi hadi ndizi ni gharama vibaya sana hao Samaki unaweza kukaa mwezi mzima hujawala kama mshahara wako ni 700k

Embu niambie wapi nitapata hao Ngisi kwa 10k niwafate leo naishi Hospital ya mkoa hapa
labda anasemea mchinga huyo
 
Hospital ya Sokoine imehamishiwa Mitwero, na Ile sehem Kwa Sasa ni chuo Cha afya(COTC)
ok,,naujua huo mpango ila sikujua kama ni tayari umetimia maana nimeondoka mwaka jana october na ilikuwa bado inafanya kazi sokoine palepale
 
Back
Top Bottom