Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 13,054
- 26,190
Kumega mkoa hakusaidii chochote, kunaongeza tu ulaji kwa wachache na gharama kwa walipa kodi wengi. Maendeleo ya Katavi ya kawaida sana kama sehemu nyingine zozote zile Tanzania, hakuna kukimbia wala nini, nafikiri tuna standards ndogo sana za maendeleo.
Sawa mkuu. Nimeelewa ufafanuzi wako.