Mkoa wa Lindi maisha gharama sana

Mkoa wa Lindi maisha gharama sana

Sijui kwanini hawatakagi kuumega huo mkoa kusogeza maendeleo.
Kwanini wasimege kidogo Morogoro, Pwani, Mtwara na Ruvuma papatikane mkoa kuharakisha maendeleo.
Lindi ki jiografia ni kubwa sana kuliko Mtwara, Pwani, Ruvuma a Morogoro.
Ila lindi wilayani sio pabaya sana ni kama vijiji tu vingine vya mikoa mingine...liwale uchumi wao mzuri,,ruangwa majaliwa kaboresha,nachingwea pia inabebwa ma masasi kidogo ...kilwa masoko sio mbaya tatizo ni hapo lindi mjini aseee pachakavu sana yaani maisha magumu sana kuwekeza imagine kuna sehemu pale kariakoo kuna maofisi mengi mataasisi ya maji,shule,chuo,hospitali ila hakuna hata restaurant yenye hadhi nzuri watu kula ni mama ntilie tu wa buku buku
 
Oya niambie sehemu 10 za kutalii. Kesho natoka Kilwa Masoko nakuja Lindi town
Hata siwezi kurecommend sehemu kwa sababu unajua lindi mjini ilivyokaa ni kama uchochoro tu sehemu moja ni hills sehemu moja ni beach kwa hiyo lindi mjini hakuna sehemu utaishia zaidi ya beach tu kuchezea mchanga na kaupepo.....sasa kama ni beach halafu weekdays hakuna vibe umepishana nalo ila chungulia tu makuti beach rahaleo,kisha mashujaa,magereza club labda na paris kidogo night kupata vitu ndo basi muelekeo unabaki wa kwenda MT tu mtwara kidogo machimbo yapoyapo
 
Tena kesho j3 nimefanya bad timing
 
Niliwahi kaa Isanga kule, kitimoto ya buku mbili jero nilikuwa simalizi. Nyama kibao, ndizi kibao.
Mbeya ukiwa na buku jero unapata wali maharage wa kushiba.
Matunda ya jero. Parachichi ya mia tatu, ndizi mbivu mia mbili nne.
Unatoboa mchana.
Hatari mbeya ni noma ,nilikuwepo early 2000s ,wali maharage ilikuwa Th 150 ,Kipande cha Kitimoto ilikuwa jero ,ukipiga ya buku inatosha sana....Chips ilikuwa Tsh 100
 
Hili nakataa Kariakoo ni sehemu nayoijua vizuri sana na nilikuwa hapo mwezi uliopita tu bei za vitu ni ghali sanaaaaaa hakuna kinachopatikana kwa bei rahisi Lindi
Lindi samaki bei poa sana, samaki ambae utamnunua maeneo mingine kwa 40k, kwa Lindi utampata kwa 25k.
Huko ukinunua ngisi wa 10k uhitaji kitu kingine zaidi ya maji ya kunywa, Lindi samaki bei nafuu ukilinganisha na maeneo mengine ambayo samaki wanapatikana.
 
Back
Top Bottom