William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Nyerere, alimjua Mkapa kwa sababu alijua kuwa Mkapa ameshagombea mara karibu kumi uongozi wa ndani ya CCM na kunyimwa, na kila alipouliza why? Aliambiwa sababu, lakini kwa vile alikuwa mwanafunzi wake Pugu, akaamua kutojali na kumpa urais anyways,
Sasa Nyerere, hakuwa fisadi no way, lakini aliwajua mafisadi na wengine kina Kahama, Bomani, Kimario, Msuya,aliwakumbatia sana, hata kabla hajafa Nyerere alijua kuwa Mkapa na wenziwe wameiba NBC kwa kuiuza bei poa, yaani Idd Simba, Sumaye, na Kigoda, wakishirikiana na Mpungwe, na Kazaura,
Wazee msituchokoze uchungu, tumeliwa inatosha, mwacheni mzee wa watu Nyerere alale salama peponi, ingawa tutalipia for the rest of our life ujinga wetu wa kumuamini kuwa yeye tu ndiye aliyekuwa na akili, sasa tukubali tu yaishe, maana tuliyataka wenyewe na bado tunaendelea kuyataka kwa kuwachagua anyways, maana ni Mkapa huyo mhuyo aliyetulazimisha kumchagua Muungwana, meaning kuwa bado hatujaamuka!