Lete ushahidi hapa. Usilete roumars tu!
Mkapa anajivua nguo mwenyewe,wala msiwazibe macho watoto,waacheni waone sinema ya bure..Kuna ushahidi tosha wa yeye,Mrs,Nico na Mbuna Family kuhusika na Mradi wa kiwira.Judge Bomani na akina Zitto watakuwa mashahidi hapa,yale waliyoyaona Mbeya (Kiwira) yasiwe siri tena,kila kitu kiwekwe hadharani,ili hawa watu wahukumiwe kwa udhalimu wao.
Hiyo barabara kwa kweli ni maumivu sana. Hiyo foleni ya leo asubuhi kidogo inisababishie ugonjwa wa moyo. Mimi niliwakuta vibarua wanabeba lami kwenye mkokoteni wa chuma, nilumhurumia yule kibarua kwa sababu hakuwa na gloves na mkokoteni wote inaelekea ulikuwa umepata moto kutokana na lami hiyo na alikuwa anapata taabu sana, matokeo yake lami ikawa inamwagika hovyo wka sababu mkokoteni ulikuwa unaangukaanguka kila mara jamaa alipokuwa anaungua mikoni! hawa nwachina watatuua
Hiyo barabara kwa kweli ni maumivu sana... vibarua wanabeba lami kwenye mkokoteni wa chuma, nilumhurumia yule kibarua kwa sababu hakuwa na gloves na mkokoteni wote inaelekea ulikuwa umepata moto kutokana na lami hiyo na alikuwa anapata taabu sana, matokeo yake lami ikawa inamwagika hovyo wka sababu mkokoteni ulikuwa unaangukaanguka kila mara jamaa alipokuwa anaungua mikoni! hawa nwachina watatuua
Ooops!Hawa jamaa wanaendesha kiwanda kwa hasara kubwa na wana mkopo mkubwa ambao uko guaranteed na BoT toka enzi za Mramba. Walijaribu kupata guarantee nyingine enzi za Mama Meghji wakawa blocked.
Kama kweli Mzee atakuwa na share pale itakuwa hatari...
Hawa jamaa wanaendesha kiwanda kwa hasara kubwa na wana mkopo mkubwa ambao uko guaranteed na BoT toka enzi za Mramba. Walijaribu kupata guarantee nyingine enzi za Mama Meghji wakawa blocked.
Kama kweli Mzee atakuwa na share pale itakuwa hatari...
yahitaji kuwa na kichwa kama cha mwendawazimu kidogo kuendelea kukanusha kuwa Mkapa si fisadi maana habari zake hata watoto wa Kindergaten wanajua hilo, imefikia hata mtoto akinyimwa chips dume na rafikie shuleni anamwambia mwenzake fisadi
m-bongo,
si kweli kuwa wendawazimu tu ndio wanakanusha kuwa Mkapa sio fisadi. Watu hawana ushahidi ila wanamzulia Mkapa haya yote kwa vile alifanya kazi nzuri sana ya kujenga uchumi wa Tanzania kwenye awamu ya tatu.
Awamu ya tatu,
Inflation ilikuwa chini, uchumi ulikuwa, barabara zilijengwa, watu wengi walijiunga vyuoni, mishahara ilipanda. Haya yote yanayosemwa hapa ni chuki tu dhidi ya mkapa.
huyu Masaka ametumwa na Kingunge sasa hapa kanawa tumesha kuwa si wadanganyika kama zamani.
Na humu JF lazima atakimbia katumwa na CCM huyu kuja kupooza mambo si bure.
m-bongo,
si kweli kuwa wendawazimu tu ndio wanakanusha kuwa Mkapa sio fisadi. Watu hawana ushahidi ila wanamzulia Mkapa haya yote kwa vile alifanya kazi nzuri sana ya kujenga uchumi wa Tanzania kwenye awamu ya tatu.
Awamu ya tatu,
Inflation ilikuwa chini, uchumi ulikuwa, barabara zilijengwa, watu wengi walijiunga vyuoni, mishahara ilipanda. Haya yote yanayosemwa hapa ni chuki tu dhidi ya mkapa.
Tunashukuru unajua kua MKAPA ALIAFANYA BIASHARA AKIWA IKULU. Unataka ushahidi gani tena. ndio maana unaambiwa ukiongea sana utajikanyagaMkapa alifanya biashara kama mjasiriamali yoyote yule, hakuna tatizo na hilo jamani.
nani atakuja hapa, hana kazi huyo, ccm kuna mapesa na kila kitu. huyo mnyika atajiunga tu ccm kwani njaa zitamzidi huko chadema. sasa hivi ni maandalizi tu ya kuwachafua viongozi wote wa upinzani na wanachadema hapa hadi mambo yageuke.