Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

Kuna Member Mmoja alisha sema kuwa kuna watu anaanzisha thread halafu anatumia majina mawili kujiuliza maswali na kujijibu mwenyewe. sasa nanusa mchezo huo
 
Jamani Ya Nini Kupoteza Muda Wenu Kuelimisha Hawa Mafisadi Wasio Na Hoja?
 
Mazee Ogah achana na hawa Troglodyte Homunculus wenye IQ za chini ya 20 halafu wanajifanya member wa Mensa. Vitu wanavyoandika humu ni beyond stupidity. Mensa hawawezi waka-admit magoigoi kama hawa.

sawa mzee wewe mwenye IQ iliyokuwa above average ! angalau bado sijajua ukubwa wa hiyo IQ inakupa kitu gani zaidi ambacho wengine wenyewe below 20 IQ hatupati !
 
Kuna Member Mmoja alisha sema kuwa kuna watu anaanzisha thread halafu anatumia majina mawili kujiuliza maswali na kujijibu mwenyewe. sasa nanusa mchezo huo

nafikiri hii isiwe tatizo ! mod anaweza kujua ni nani na akalishughulikia hili suala lako au unasemaje ?
 
baadhi yetu humu baada ya kusikia hizi accusations tulijua tu kwamba hakuna ukweli wowote ndani yake, hivyo sitoshangaa kuona "wanaomuandama mzee mkapa" wakiondoka patupu !

hizi accusations ni part ya ile take over campaign inayofanywa na akina nanihii wakitaka kupaka mavi kila sehemu. but ooh my goooshhh its not working for them.

Kina nanihii si mnao wenyewe?ndani ya system?ua hujui kuwa watu wa Mkapa bado wana exist kwenye system?na watu wa kikwete ndio wanaoibua haya mambo ili watu wawe busy na mkapa siku ziende?maana JK ameshindwa ku deliver!sasa watu wake ndio wanaomchokonoa mzee na JK anajua akichokonolewa mzee yeye hata kuwa salama ndio maana akataadharisha wamuache mzee apumzike.

Wewe ni kada kindakindaki.

Huwezi kuelewa haya.
 
lol !! haya bana hamna noma !
 
Tunajadili hoja na kama hamna hoja tunasaka kwingine shamasha nyie....
 
SIMPLE THIS MAN IS AN ARROGANT MAN, FISADI NO MATTER WHAT HIS PUPPETS ARE SAYING THIS WILL NOT CHANGE THE FACT THAT HE IS THE MOST CORRUPT LEADER IN THE HISTORY OF TANZANIA.

jAMANI SIMPENDI KABISA YEYE NA M ..............................
 
wape wape vidonge vyao, watakimbia forum hao, na muda si mrefu nitaleta thread zaidi za ccm.

Its pay back time.

Mods, hizi ni njama za kuivuruga JF kama hamtakuwa makini kuzuia upumbavu kama huu basi hawa wenye fikra za kifisadi na watetezi wa mafisadi wanaweza kabisa kuiharibu JF. Kulikuwa na sababu gani ya kuanzisha hii thread? Kama unauliza kitu na watu hawakujibu basi usitake kuwalazimisha watu wa kujibu na wao hawataki kufanya hivyo!!!! Mkiwaachia hawa leo wanatuma labda kwa siku jumbe 10 kesho kutwa itakuwa ni jumbe 1,000 kwa siku na itasababisha kasheshe ya hali ya juu. Wapeni onyo kwamba mchezo wao wa kipumbavu haukubaliki na kama hawakusikia basi wafungiwe.
 
Mods, hizi ni njama za kuivuruga JF kama hamtakuwa makini kuzuia upumbavu kama huu basi hawa wenye fikra za kifisadi na watetezi wa mafisadi wanaweza kabisa kuiharibu JF. Kulikuwa na sababu gani ya kuanzisha hii thread? Kama unauliza kitu na watu hawakujibu basi usitake kuwalazimisha watu wa kujibu na wao hawataki kufanya hivyo!!!! Mkiwaachia hawa leo wanatuma labda kwa siku jumbe 10 kesho kutwa kutwa itakuwa ni jumbe 1,000 kwa siku na itasababisha kasheshe ya hali ya juu. Wapeni onyo kwamba mchezo wao wa kipumbavu haukubaliki na kama hawakusikia basi wafungiwe.

huu sasa nao ni UFISADI !! haki ya mungu yaani ufisadi kila kona.. wakishafungiwa iweje ??Labda utoe alternative nzuri zaidi nitakuwa open kukusupport, lakini watu kufungiwa huo nao ni UFISADI. Lakini haya ni maoni yako tu, so its ok !Kama watu hawataki kujibu, basi wasijibu na waiache thread ife yenyewe, hiyo ndio dawa !
 
Ukumbi huu una sheria zake kama zinapindwa na wahusika wakaonywa na wakaendelea kupindisha sheria bila kujali maoni ya wanachama wengine wa ukumbi huu basi wanastahili kabisa kufungiwa. Ni upumbavu na utoto wa hali ya juu kuanzisha thread yenye subject Mkapa halafu ndani haina kitu chochote. Na wanaJF wengi hawatakuwa tayari kuvumilia upumbavu huu.
 
ulichosema ni kweli, kwamba thread iliandikwa jina la mkapa na hakukuwa na info zaidi, lakini baada ya hapo mzee si umeona watu wakaanza kuchanganya maongezi hadi hapa ulipotoa ushauri wako ?

Anyway mie sioni sababu ya hatua kuchukuliwa maana maongezi na flow nzima ya maongezi ni nzuri na hakuna anayetukana wala kuchafua hewa kwa namna yoyote ! asante !
 
KadaMpinzani,
Mkuu nataka kujiunga na hii mada...nasikia hiyo Tuesday watu walikimbia...basi hao hao mnaowajua hatukuwepo vijeba, sasa kama mnataka tulianzishe itakuwa vizuri sana mkinipa hizo mada zinazozungumzia maswala ya Mkapa tukipakle kisawasawa!..... Mulizeni mkuu wenu Augustine Moshi, aliyembeba Mkapa na kumvusha mto lakini alipofika upande wa pili alijikuta peke yake...Hana nyege tena na Mkapa!...Sijatukana..
Mkuu wala msianze za Mkapa mtamweka matatani zaidi maanake kuna info ambazo watu wameziweka wanasikilizia Upepo!
 
KadaMpinzani,
Mkuu nataka kujiunga na hii mada...nasikia hiyo Tuesday watyu walikimbia... hao hao mnaowajua sasa kama mnataka tulianzishe itakuwa vizuri sana mkinipa hizo mada zinaqzozungumzia maswala ya Mkapa..... muulizeni mkuu wenu Augustine Moshi, aliyembeba Mkapa na kumvusha mto lakini alipofika upande wa pili alijikuta peke yake...
Mkuu wala msianze za Mkapa mtamweka matatani zaidi maanake kuna info ambazo watu wameziweka tuuu wanasikilizia Upepo!

mzee mada zipo open kwa watu wote, na hao wenye info zaidi kuhusu mkapa nafikiri itakuwa vizuri zaidi kama watazimwaga kuliko kupoteza muda na kuanzisha thread ya kutaka jk ajiuzulu wakati watu wanajua thats impossible ! hahaaaaa, eti tukipake, kikinuka je ? lol

kama kuna solid info kuhusu mkapa kwamba kweli alifanya makosa basi na awe held accountable, lakini kama watu wanakuja na propaganda zao hapa kwa kweli i wont take it ! wengine wanafuata tu mkumbo mkapa fisadi, mkapa fisadi just because fulani said so....

anyway mkuu, tujimwage hapa na tumwage more info !
 
KadaMpinzani,
Kikinuka ndo ondoka taratibu!....najua harufu huiwezipamoja na kwamba huna jinsi choo cha mchuchumio ndo utamaduni wenyewe huo!
Hata hivyo nipe hizo mada basiii! naona mada kibao hazina mbele wala nyuma. Nambie ulikoweka nanga nataka sana kuwakilisha.
Heee, mara hii watu wamekuwa wanafuata Upepo mkuu, mbona wewe umezungumza mengi kuhusu Mbowe ambayo wala sioni makosa wala kutaka awe accoutable...lakini umeweza yaona ya wengine..
Halafu mkuu wewe kijana wa mjini haya maswala ya kubeba jitu zima fisadi kama hilo huoni aibu mkuu..
 
Kikinuka mie huyoooo... Mada mzee, nafikiri nitakujulisha soon na ili ujichanganye huko na wewe, watu wamekuwa bendera, na mie nawaangalia tu wanavyopeperushwa ! Jamaa ufisadi wake hadi hivi sasa haujamwagwa dataz za kutosha zaidi ya kuongea fantasies zao, na wanayodhania !
 
Back
Top Bottom