Ohhh kumbe hujapata habari mkuu, subiri nakwambia kitanuka hivi karibuni, tena basi itakuwa kama ile ya Lowassa wakati akiitwa Richmonduli na ndege ya kupaa.. walisema hayohayo!.. yaani sasa hivi mkuu namsikitikia sana Mkapa... Angesikia ya watu toka zamamni haya yote yasingetokea..
Watu wamemkalia kooni kichizi yaani wala usiombe!..Kifupi nitakwambia ni Tic...Tac... tic....tac..
Kuhusu Kikwete kusema kweli binafsi naamini kuwa ni baraka tupu kuja kwake!...Tupewe nini zaidi kama mambo mswano kiasi hiki. Nje ya Kikwete sioni kiongozi toka CCM zaidi ya wale waliokaa benchi bila namba.