Mjerumani amchambua Lowassa, awashangaa Watanzania

Mjerumani amchambua Lowassa, awashangaa Watanzania

Team Membe na Nyalandu wanaamini kuwa Wazungu ndo wenye kutoa miongozo sahihi... Team Membe inamtumia Chris Opperman na JACK GOTHAM matapeli n assassins wa kimataifa kuwashauri... hawa wote wanatoa fedha kwa niaba ya Makampuni makubwa ya Gas duniani! Hawataki kusikia wananchi wananufaika kwa Rasilimali zao: Bahati mbaya sana Wajinga wengi hawajui Roles za NGOs kwenye kukwapua Rasilimali zetu: Rushwa ipi aliyohusika nayo Lowassa? Ikawaje USA wakajitokeza hadharani na wote wakafyata? ... Itoshe kusema Lowassa hazuiliki tena... Kama jana Umeona Mziki wake ni vema hao makanjanja wakafungasha virago mapema kurudi kwao maana Lowassa anachukia kuitwa Omba Omba .... Rsilimali zetu zitatufanya tuombwe misaada si kuomba hiyo misaada ya kilaghai ...

Umezaliwa jana nadhani.
Lowasa alikuwa ombaomba mpaka aliomba wathai watusaidie kututengenezea mvua! bogus sana.
 
Sawa Nimekuelewa Kuwa Na Wewe Huwa Unaongeaga Na Wazungu Maana Ndio Lengo Uliokusudia,
Mm Nilidhani Eidha Ni Kiongozi Wa Ujerumani, Kumbe Hawa Kajambanani Kama Sisi Hayo Mawazo Watanzania Wengi Wenye Akili Wanawaza Nadhani Hata Wewe Mwnyewe, Sasa Iweje Ushadidie Rangi?
Huo Ni Ulimbukeni,ushamba Na Kutojielewa Na Inavyoonekana Ulikuwa Unapondwa Wewe Unachekacheka!
 
Wanaotaka awe raisi ni masai wenzake na wajinga wengine wengi tu ndani ya nchi hii ya kidizaini
 
Katika hali ya kunishangaza, nilikuwa nabadilishana mawazo na mzungu mmoja raia wa Ujerumani kwenye N.G.O yake. Katamka maneno yaliyonistaajabisha.

Tumeongea mambo mengi lakini baadae tukaanza kuongelea siasa. Akasema kuna yule aliekuwa waziri mkuu anaitwa Lowasa, nimeona sasa mnampenda sana. Mimi nikamjibu inaonekana kuna Watanzania wanampenda awe Rais. Yule Mzungu akaniuliza, si yule aliejiuzuru kwa sababu ya Corruption?, nikamjibu ndie huyo. Akasema, wakati ule alionekana amekula Rushwa, sasa anataka kuwa Rais na watu wanamuunga mkono!, akaongezea kwa kusema how can you easily forget?, how can you easily change your mind?, yaani mnawezaje kuwa wasahaulifu namna hii, mnawezaje kubadili fikra zetu haraka hivi juu yake?, hapo mimi nikabaki na kigugumizi. Akaongeza, au Lowasa amewahi kuwaelezea uhusika wake na hizo corruption?, mimi nikamjibu hapana. Akasema tena, Or was he cleared by the court? yaani, je Mahakama iliona hana hatia?, nikamjibu kesi haijawahi kwenda Mahakamani. Akauliza, then which criteria do you use support him?, yaani mnatumia kigezo gani kumuunga Lowasa mkono? nikamjibu kwakweli sijui wananchi wanatumia kigezo gani.

Yule mzungu akasema, anyway, you are such amazing country, with this style it may take you so many years to change. Yaani ninyi ni nchi ya ajabu, kwa style hii itawachukua miaka mingi kupata mabadiliko.

Huyo mjerumani hata kura hapigi kwa hiyo mwsmbie akawachambue eajerumani wenzie,bitch
 
Ukiondoa hilo la technolojia ya kutengeneza mvua ambayo Iran imefanikiwa sana ... tuambie wapi na lini alikuwa ombaomba?... endelea kuzuia mafuriko kwa mkono ...
Umezaliwa jana nadhani.
Lowasa alikuwa ombaomba mpaka aliomba wathai watusaidie kututengenezea mvua! bogus sana.
 
mimi sio mzungu, ni mtanzania, halisi,vizazi na vizazi. lakini siwezi kukubali kuona fisadi mla rushwa mwenye credibility mbovu kama Lowassa anaingia Ikulu. Tulikaa kimya 2005 hatukukemea watoa ahadi zisizoeleweka, tumeishi kwa kujutia miaka 10.

Watanzania wenye uwezo wa kuchambua baya na jema wana wajibu kwa watanzania wasio na uwezo huo kwa kuwaelmisha na kuwaambia upuuzi wa kuchagua viongozi wasiofaa kwa sababu tu ni mabingwa wakutoa pesa. Ndio maana nimetamka wazi, nitapayuka kadri niwezavyo kuwaonesha mapungufu ya huyu Lowassa.Kama CCM wakiamua kumpitisha na UKAWA kwa ujinga wao wakashindwa na fisadi kama huyu kwenye sanduku la kura. Iwe ni mwanzo na mwisho wa thread za maisha magumu humu JF, kwani tutakuwa tumejifanyia certification ya kuyamiliki maisha ya hovyo kwa miaka 10 ijayo na possibly mingine mingi sana.

Lowassa hana jipya kama kiongozi, ni mla rushwa, anakumbatia kila aina ya mafisadi, na mbaya zaidialifukuzwa yeye na kina mramba walioshtakiwa kwa kutuuzia umeme hewa.leo hii asijifanye msafi wakati hajasafishwa kokote.

EL na JK wote ni wezi tu sijui ni Watanzania gani wanawa-support. Kwa hali tuliyonayo nchi kubwa kama USA na UK wanatuonea huruma tu hatuna lolote la kujivunia ingawa tuna kila kitu ni mafisadi tu kila kona. Then vinakuja hapa vikina Faiza Fox kutetea majambazi ni aibu. How can you associate yourself with such people?
 
Katika hali ya kunishangaza, nilikuwa nabadilishana mawazo na mzungu mmoja raia wa Ujerumani kwenye N.G.O yake. Katamka maneno yaliyonistaajabisha.

Tumeongea mambo mengi lakini baadae tukaanza kuongelea siasa. Akasema kuna yule aliekuwa waziri mkuu anaitwa Lowasa, nimeona sasa mnampenda sana. Mimi nikamjibu inaonekana kuna Watanzania wanampenda awe Rais. Yule Mzungu akaniuliza, si yule aliejiuzuru kwa sababu ya Corruption?, nikamjibu ndie huyo. Akasema, wakati ule alionekana amekula Rushwa, sasa anataka kuwa Rais na watu wanamuunga mkono!, akaongezea kwa kusema how can you easily forget?, how can you easily change your mind?, yaani mnawezaje kuwa wasahaulifu namna hii, mnawezaje kubadili fikra zetu haraka hivi juu yake?, hapo mimi nikabaki na kigugumizi. Akaongeza, au Lowasa amewahi kuwaelezea uhusika wake na hizo corruption?, mimi nikamjibu hapana. Akasema tena, Or was he cleared by the court? yaani, je Mahakama iliona hana hatia?, nikamjibu kesi haijawahi kwenda Mahakamani. Akauliza, then which criteria do you use support him?, yaani mnatumia kigezo gani kumuunga Lowasa mkono? nikamjibu kwakweli sijui wananchi wanatumia kigezo gani.

Yule mzungu akasema, anyway, you are such amazing country, with this style it may take you so many years to change. Yaani ninyi ni nchi ya ajabu, kwa style hii itawachukua miaka mingi kupata mabadiliko.

Wajinga tuuu wotee. Kama lowasa anafaa si wampeleke kwao ujerman akasaidoane na Angela Mackery
 
Tell him to back to Germany, where there is no corruption, how can he conducts his activities in such a corrupt nation???! We dont care they corrupted us from the beggining!
 
Mzungu kampe dada zako awaoe..mzungu ni nani hapa? Kwanza sisi tunamshangaa kwa nini hashugulikii mambo yao ya ushoga anaingilia mambo ya watanzania au anataka kuolewa?
 
Wakenya wenyewe wanatushanga sio wazungu tuu.sio mpka mtu aseme nimeiba ndio kashfa.
 
Hakuna mzungu yoyote aliewahi kutamani mtu mweusi abadilike hapo jua alikua hawashangai watanzania bali alikua anakushangaa wewe kwa kumuamini . kweli hii nchi kubadilika bado safari ni ndefu
 
Tunazungumzia maisha ya watanzania unakuja tuletea habari za wazungu??who is Mzungu?

Ndugu yangu kiloriti, hivyo wewe sasa ndio unasema nini, siyo huyo mzungu tuu, watu wengi wanajiuliza Tanzania kunani, yaani wale wote wanaohusika na ufisadi wako na lowasa na bado watanzania mnawasherehekea.

Hivyo wewe unaweza muoza binti yako mlevi was kutupa, mla unga, jambazi, mwizi au ------. Na ukafurahia Hiyo ndoa? Basi wengi tunamashaka kumpa nchi mtu mwenye tuhumaza ufisadi, na marafiki zake wote ni magenge ya kifisadi.
 
Watanzania tutakumbuka baada ya miaka 10 ya mateso baada ya furaha ya laki tatu hizo. napita tu.
 
Mzungu kampe dada zako awaoe..mzungu ni nani hapa? Kwanza sisi tunamshangaa kwa nini hashugulikii mambo yao ya ushoga anaingilia mambo ya watanzania au anataka kuolewa?
r
Tunashangaa wewe na ndoa yako ya mafisadi ! .... shoga la kulipwa wee dereee
 
Last edited by a moderator:
siyo mzungu tu, hata waafrika wenzetu wanatushagaa. wanasema TZ ilikuwa nchi ya kujivunza mengi yaliyo tofauti na mataifa mengine ya Afrika. lakini kumbe ni Nyerere ndiye aliyekuwa tofauti, waTZ wengine wote ni mapopooo tu.
 
Kama tusingekuwa wasahaulifu huyo mzungu asinge ingia tanzania. Au anafikiri tumesahau nchi yake ilivyo inyonya tanganyika?Babu zake walitawala hii nchi kuliko hata hao kina lowasa.
 
Back
Top Bottom