kabugira
JF-Expert Member
- May 14, 2014
- 1,186
- 659
Hali halisi we ulikuwa huijui mpaka isemwe na mzungu!!!????
Ni kwa sababu ya watu kama wewe ambao mnajifanya hamuoni wala kusikia kinachoendelea, na kwa mtizamo wako naona hata wizi wa fedha za escrow, EPA and the like you do not give a damn care do you? That being the case let us drop the fucking discussion.