kiroboto21
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 887
- 326
Na wewe vipi bana unashindwa kumwelekeza mzungu kisa ni employer wako! ungemwambia hapa tz hakuna kashfa ya corruption inayohusisha mtu mmoja! ila mmoja hutolewa kama mbuzi wa kafara ili abebe msalaba! wajerumani wenyewe akina Johannes Rebmann na Ludwig Krapf walitule maandiko ya injili yanayosomeka hivi katika Mathayo 7:1-2 "Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi. Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa." Unaona ee!? Usikute huko kwao huyo m-NGO amecheza rafu ndio maana kaja kujificha huku porini kwa kichaka cha NGO.
Upo sahihi kabisa mkubwa