Mjerumani amchambua Lowassa, awashangaa Watanzania

Mjerumani amchambua Lowassa, awashangaa Watanzania

Mzungu kampe dada zako awaoe..mzungu ni nani hapa? Kwanza sisi tunamshangaa kwa nini hashugulikii mambo yao ya ushoga anaingilia mambo ya watanzania au anataka kuolewa?

Pinga kwa hoja na siyo kupanic, inaonekana dose imekuingia
 
Kwani hujamwambia huyo mjerumani wako kuwa mitambo iliyotwa chakavu na kumfanya Lowassa kuwajibika ndio mitambo iliyoitwa mipya na kumfanya Rais wa Mh.Barack Obama aiwekee baraka pale Ubungo mnamo Julai 2, 2013.
 
Kwani hujamwambia huyo mjerumani wako kuwa mitambo iliyotwa chakavu na kumfanya Lowassa kuwajibika ndio mitambo iliyoitwa mipya na kumfanya Rais wa Mh.Barack Obama aiwekee baraka pale Ubungo mnamo Julai 2, 2013. Kama ni usahaulifu basi wasahaulifu wapo wengi.
 
Actually we are so amazing..... Yaani hata wanyama pori wanatushangaa. Why tunasahau mapema hivi?? Au njaa zetu ndiyo tatizo!
 
doesn't matter nani kaongea, ila ukweli ni kwamba sisi watz tu wasahaulifu sana. Mimi mwenyewe huwa najiuliza sana hayo maswali ila naamua ku-give time. Ukitokea ufisadi watu huzungumza sana ila it take a week watu kusahau kila kitu. Kifupi tz tunaishi kwa matukio. Mungu atusaidie

hakika kiongozi umenena.
 
Doesn't matter nani kaongea, ila ukweli ni kwamba sisi watz tu wasahaulifu sana. Mimi mwenyewe huwa najiuliza sana hayo maswali ila naamua ku-give time. Ukitokea ufisadi watu huzungumza sana ila it take a week watu kusahau kila kitu. Kifupi tz tunaishi kwa matukio. Mungu atusaidie
Si kusahau tu, bali zaidi ni umbumbumbu wetu na wale wenye ufahamu kutoelimisha walio gizani na uvivu wa kufuatilia yanayojiri! Wengine kukubali na kupendelea bora liende. Wengine wanausemi "sina shida kwani nakula kwa mtu?"
 
Tunazungumzia maisha ya watanzania unakuja tuletea habari za wazungu??who is Mzungu?

Huyo ndo wale wanaoamini kwamba wazungu wanakunya chocolate. Mshamba kama huyo atakuwa na nini chakutueleza?
 
Kwahiyo ww asngesema mzungu ungekuwa kwa el pole jinga kubwa
 
Mimi nakijua kiingereza vizuri, nina elimu ya chuo kikuu, na yeye anafahamu kiingereza, nimekutana nae si kwa kubahatisha, tunafahamiana.
Obama alipelekwa Ubungo bila kujitambua, haijui Richmond, yeye kapelekwa na mafisadi wa Tanzania kama njia ya kuua soo.

Hayo mambo ya kusema Lowasa hakuusika ni wewe unasema, Mhusika hajawahi kusema, labda wewe ndie msemaji wake

Danganya wasiofahamu...
Mpaka kafika pale hiyo issue ilishajadiliwa na kuchunguzwa vya kutosha na serikal yao, waliporidhika ndo akapangiwa ratiba ya kufika pale.
Simuungi mkono Lowasa, na pia sipendi Siasa majungu.
Mnaompinga Lowasa kwa kuangalia Richmond tu nadhani hamlitafakari kwa undani suala la Richmond.
 
Day!mtoa mada unaakili za kikoloni sana,kwani mzungu ni nani aweze kuwaza kwa niaba yetu.
Umeona ni jambo la maana kwakuwa ameshangaa mzungu ambae pengine ni kuli tu.
Mbona watanzania wengi tu wameshafanya mijadala aina hiyo mingi tu,wakati huo wewe ulikuwa bado mdogo
 
UKISHA KUWA MWAFRIKA NI SHIDA,na kuishi katika kundi kubwa la watu wenye akili kama mbuzi ni shida kubwa zaidi.PW BOTHA alisema mwafrika habadiliki and has got zero time in thinking and reasoning.
 
KWA UKWELI ULIO WAZI LOWASA HAFAI KABISA .ANAFAA KWA WAJINGA TU WASIO NA MUDA WA KUFIKIRI WALA KUWAZA.WATU KAMA Akina KINGUNGE MPAKA Unashangaa ndio maana Tanzania haipigi hatua jamani aibu tupu.
 
Ni kweli tanzania wajinga wengi mno na ndio tatizo kubwa la nchi mfano humuhumu jf hawa wanaopinga kitu ambacho kipo wazi na cha maana hebu waangalieni wenzetu Kenya mbona wajinga wachache sana?wenzetu wanasonga...Hivi ni kweli watu wanampenda Lowassa au wanapenda pesa zake?da njaa mbaya sana
 
Back
Top Bottom