Ivi nijipendekeze kwako una nini???kula kulala ww na unayesubiri urithi,nina amini me ni mdogo kwako lakin Nishaiona future yangu kwa uwezo wa MUNGU wangu na bidii zangu mwenyewe,nawe utabaki kusubiri urithi wa mzee wako aisee
Haaaaa izo naweza sema ni siasa na philosophy ww mtu mweusi umekalili aisee na bado utaendelea kukalili,lakini jua mwisho wake unakaribia,Haille alisema "until this philosophy which holds one race supérior and another inférior is finally and permanently descridited and abandoned...until that day every where is war."
Nitafsirie Hicho Kiingereza Chako Cha BRN.
Nisaslimie Mkeo Huyo Wa Kihaya Uliyemwachisha Chuo UDSM Kwa Kumzalisha Na Sasa Ameshachoka Na Mwanao NDONDOCHA Unayembemenda.
ivi unapata shida na mtu anayejiita uvungu??
huyu hata akili ni ya uvunguni tuuuuu..........
ndio shida ya wafuasi wa CDM wengi kwao matusi ndo jadi yao.
waambie sasa waproove kwa Lowassa ni fisadi utacheka, hakuna anyekupa jibu zaid ya Slaa alisema, eti alifukuzwa uwazir mkuu. Nani aliyemfukuza uwazir Lowassa? Watuambie with facts ufisadi wa Lowassa ulipo, na serikal ituambie kwann hajawajibishw adi leo?
Wanaomwamini lowasa ndiyo waajabu.
Kuna Google traduction inaweza kukusaidia
Katika hali ya kunishangaza, nilikuwa nabadilishana mawazo na mzungu mmoja raia wa Ujerumani kwenye N.G.O yake. Katamka maneno yaliyonistaajabisha.
Tumeongea mambo mengi lakini baadae tukaanza kuongelea siasa. Akasema kuna yule aliekuwa waziri mkuu anaitwa Lowasa, nimeona sasa mnampenda sana. Mimi nikamjibu inaonekana kuna Watanzania wanampenda awe Rais. Yule Mzungu akaniuliza, si yule aliejiuzuru kwa sababu ya Corruption?, nikamjibu ndie huyo. Akasema, wakati ule alionekana amekula Rushwa, sasa anataka kuwa Rais na watu wanamuunga mkono!, akaongezea kwa kusema how can you easily forget?, how can you easily change your mind?, yaani mnawezaje kuwa wasahaulifu namna hii, mnawezaje kubadili fikra zetu haraka hivi juu yake?, hapo mimi nikabaki na kigugumizi. Akaongeza, au Lowasa amewahi kuwaelezea uhusika wake na hizo corruption?, mimi nikamjibu hapana. Akasema tena, Or was he cleared by the court? yaani, je Mahakama iliona hana hatia?, nikamjibu kesi haijawahi kwenda Mahakamani. Akauliza, then which criteria do you use support him?, yaani mnatumia kigezo gani kumuunga Lowasa mkono? nikamjibu kwakweli sijui wananchi wanatumia kigezo gani.
Yule mzungu akasema, anyway, you are such amazing country, with this style it may take you so many years to change. Yaani ninyi ni nchi ya ajabu, kwa style hii itawachukua miaka mingi kupata mabadiliko.

Kwa Neno Hilo Ulilokosea La " Traduction " Nikikudharau Na Kusema Wewe POPOMA Nitakuwa Ninakosea? Umeshapoteza Sifa Ya Kujibizana Na Mimi Kwani Neno Dogo Tu Hilo La Kiingereza Linakushinda Je Mathematician Gentamycine Utamuweza? Mtafute Ras Simba Akusaidie Ujifunze Vizuri Kiingereza. Pole Sana!
Haaa umekosa cha kuongea
Tunazungumzia maisha ya watanzania unakuja tuletea habari za wazungu??who is Mzungu?
Tanzania na watanzania tunatia huruma..
Umeshapunguza Huo UNENE Wa Choo Wako? Ujanja Wote Umekwenda Kuoa Demu Sura Mbaya Kama Huyo? Hilo Siyo Kosa Lako Wapenzi Wengi Wa Arsenal Mna Kilema Cha KUFIKIRI Mlichopewa Na Kocha Wenu Wenger!