Mjengwa atishia kujidhuru sababu ya JF

Status
Not open for further replies.
Kwani kalazimishwa kuingia huku? akiandika pumba zake za kumsagia mkombozi wa Watanzania lazima apewe kibano kinachostahili vinginevyo aache kuandika pumba kuhusu CHADEMA na Dr Slaa.
 
mjengwa_cow.jpg


Ukimtizama huyu jamaa vizuri na ukasoma maandishi yake huna sababu ya kuangaika kubishana nae...
 
Ndugu yetu Maggid, si vyema kutishia au kuzungumzia kwa mzaha masuala ya kujiua au kujinyonga. Masuala haya yanatokanana msongo wa mawazo yaani depression kwa kiingereza.

Kusema kuwa wahehe wana 'tabia' ya kujinyonga si sahihi na kutumia mental state ya wengine lightly is no acceptable. Mi nakushauri kama kweli umeanza kuonyesha dalili za msongo wa mawazo ukatafute washauri nasaha waweze kukusaidia. Kwani kama umeandika haya kwa dhati basi nina uhakika it is a cry for help. Ila ndiyo iwe mwanzo na mwisho ya kwako kuingia humu JF kwani hapa si therapy room.

Pole kwa usumbufu ulioupata and wishing you a quick recovery :hand:
 
Kwa upande fulani lazima nisema kuwa Mjengwa anaandika mambo mengine mazito sana ila tatizo anaweka mengine mengi yenye utani mkubwa sana. Kuna baadhi wameelewa na wengine bado hawajaelewa.

Hamuwezi amini kuwa katika jumbe zake hizi mbili, kuna kitu alikiandika na nimeona kweli kabisa kuwa Dr. Slaa kakifanyia kazi na harudii makosa hayo. Kosa hilo ni lile alilifanya Kyela kwa kumpa MWAKYEMBE ushindi wa moja kwa moja.
Kila mtu anafahamu kuwa Mwakyembe atashinda Kyela na wameahidi kuwa watamchagua yeye kama Rais. Ila je, CCM maadamu watakuwa wamebaki peke yao, hawatachakachua Matokeo? Si watakuwa peke yao vituoni?
Alipofika Kigoma kama mlisoma na kuona, hakumpa Kafulila ushindi wa moja kwa moja. Kampa kijana moyo kuwa agombee hata mara 10 asikate tamaa. Matokeo yake ni kuwa kijana atasaidia kulinda kura za dr. Slaa huko jimboni kwake. Kyela sasa hivi kijana kasharudi kabisa Mbeya na kampeni kwishieni. Hakuna tena mtu wa kusema Dr. SLAA.

Hili alilisema MJENGWA kwenye makala zake ila nafikiri wachache tu waliliona. Mtakuwa mnafanya MAKOSA kumsoma Maggid kwa juu juu tu bila kuelewa nini hasa anaeleza. Anaweza kuwa anaandika kwa undani zaidi kiasi kwamba gret Sinkers wakawa hawaoni ndani. Wanaona tu kile wanataka wao kuona na si kile yeye anataka watu waone. Tatizo wataona wachache sana na wengine kubaki wanatukana.

Mjengwa, endelea na makala zako kwani ujumbe wako unafika vizuri tu na Chadema / Slaa wataufanyia kazi. Wengi wataona kuwa UNASHAMBULIA ila wengine wataona kwa ndani na kuelewa nini unataka kuwaambia WAJIREKEBISHE. Keep it real mtani wangu.

Sikonge mtani wangu,

Nikushukuru, maana nilikuwa najiuliza kwa dhati kabisa; hivi katika wote wanaojadili humu hakuna hata Mnyamwezi mmoja! Ndio, Mnyamwezi atakayeuelewa utani wangu wa kule blogini. Kwa heshima yako mtani nitasimulia kisa hiki cha Idi Amin;

Alikamatwa mwandishi wa habari aliyekuwa akimshtumu Idi Amin kupitia maandiko yake. Mwandishi yule akafikishwa kwa Amin. Aliamini kabisa kuwa ndio ulikuwa mwisho wa uhai wake. Idi Amin alitamka; " Kijana, mnaandika mambo mengi mabaya tu kuhusu Idi Amin, hivi nikuulize kijana, katika yote niyasemayo na kuyafanya, hakuna hata moja lililo zuri?"

Kijana mwandishi akajibu; " Kuna mengi mazuri Mkuu".

Amini akatamka; " Basi, nenda kaandike jambo moja tu zuri kuhusu Idi Amin!".

Kama wengine mtashindwa kuuelewa ujumbe huu, mwulizeni mtani wangu Sikonge!
 
Maggid habari zilizonifikia Hivi punde ni kua lugha yako , mfumo wako wa uandishi na namna unavyojipendekeza kwa JK, NI SAWA NA MATUSI KWETU, nakusihi badilika, na uache mara moja Matusi dhidi ya Dr Slaa chaguo namba moja kwa maendeleo ya Taifa.

30144_1459391373905_1507034707_31149869_122682_n.jpg
 
mjengwa_cow.jpg


Ukimtizama huyu jamaa vizuri na ukasoma maandishi yake huna sababu ya kuangaika kubishana nae...
waungwana salamu sanaaa sana,mi niko nje ya topic,huyo jamaa mwenye kanzu huko nyuma ya mjengwa naona yuko bize anajishughulisha??mi siwaamini hawa wavaa kanzu:A S 13:.
 
waungwana salamu sanaaa sana,mi niko nje ya topic,huyo jamaa mwenye kanzu huko nyuma ya mjengwa naona yuko bize anajishughulisha??mi siwaamini hawa wavaa kanzu:A S 13:.

HAHAHAAAAAAH , daaaah what to say, me sipo, tena nasema simo najitoa.
 
waungwana salamu sanaaa sana,mi niko nje ya topic,huyo jamaa mwenye kanzu huko nyuma ya mjengwa naona yuko bize anajishughulisha??mi siwaamini hawa wavaa kanzu:A S 13:.

Hahahahah wazee wa Kanzu balaa kubwa hao!
 
Kwa hiyo anakuja hapa jamvini kuchokoza ili apate mada za kule kwake? Na hapa ndo atajua tu kwamba hatukubali chochote bila kukihoji. Kama kujinyonga wala asiombe wala kutoa taarifa, naweza kumpa kamba au nikamletea stuli akimaliza kupiga teke akaning'inia naichukua na kuirudisha nilikoitoa wala sitoi taarifa kokote. Mwambie aendelee!
 
Nina uhakika Mjengwa alipost hivyo kuwadhiaki wahehe. Ila kama uko serious tafuta msaada mapema kabla haijawa too late.
epic_fail.jpg
 
waungwana salamu sanaaa sana,mi niko nje ya topic,huyo jamaa mwenye kanzu huko nyuma ya mjengwa naona yuko bize anajishughulisha??mi siwaamini hawa wavaa kanzu:A S 13:.

Hahahahahahahah, duniani kuna watu na vioja. Hivi ulifikiria nini kabla ya kuandika hayo uliyoyaandika?


Mbavu zangu jamani... lazima nitakupeleka kwa Pilato unilipe!!
 
Nina uhakika Mjengwa alipost hivyo kuwadhiaki wahehe. Ila kama uko serious tafuta msaada mapema kabla haijawa too late.

Kusema kweli makala za Majid zinakuwa na elements mbaya za kichokozi. Kunakuwa na hoja za maana ila huu siyo muda wa kuleta utani. Kwa kweli mimi nimeshakereka na hata hili tishio lake naona ni danganya toto... Kama anataka kuwahi mchuma wala kamba siyo effective, ...aombe msaada tumtumie cynide chap chap!
 
afanye haraka kujinyonga, apeleke salamu kwa Mwalimu Nyerere akamwambie nchi sasa imekombolewa kutoka mikononi mwa
ccm a.k.a mafisadi a.k.a wanyonyaji, a.k.a wauaji, a.k.a majambazi ya mali za umma, na chama cha wapenda maendeleo
wazalendo wa nchi chadema hoyeeeeeeeeeee!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom