Mjengwa atishia kujidhuru sababu ya JF

Mjengwa atishia kujidhuru sababu ya JF

Status
Not open for further replies.
Wanavyonisema Kule Jamii Forums ( JF)
00.jpg


‘ Mwenyekiti’ wenu naandamwa na maneno kule Jamii Forums ( JF). Nimeishi Iringa na Wahehe kwa miaka sita sasa. Mkisikia nimechukua kamba na kujinyonga, basi, ni JF!

Yafuatayo ndio yanayoandikwa kuhusu mimi, nimewajibu pia:

Quote Originally Posted by Kichuguu View Post
Nadhani... Soma zaidi; http://www.kwanzajamii.com
 
Mwanahabari gwiji kwa njia ya blog Tanzani Mr Maggid Mjengwa amewatolea uvivu wanachadema waliojazana JF kwa tabia yao ya kushambulia kwa ushabiki na kejeli bila kufikiri wala kujadili mambo kwa hoja na logic...............BIG UP MJENGWA

Ala ulitaka kusema nini?

1. Wana-CHADEMA si tu peke yao pia wapo CCM, CUF humuhumu ukiwepo wewe na Maggid wako.
2. Maggid kama walivyo CCM wamezoea kusifiwa tu hata kama wanatoa pumba
3. Umekurupuka
 
Majjid ni mwandishi mzuri lakini uwa anapenda kuonekana neutral kumbe sio neutral hata kidogo anashindwa kujizuia na ndipo sisi wengine tunamponda kwa kutokuwa na msimamo. Afadhali ya waandishi kama kina Ngurumo, Tegambwage, Mpayukaji n.k ambao wana msimamo unaojulikana hata kama hoja zao zinachoma au ni unfair kwa wakati mwingine.
 
hajitambui mpeni muda labda ataanza kujitambua siku ya kuapishwa DR SLAA
 
Shujaa wa kweli hakimbii vita, kama Majjid alikuwa na hoja za kweli angezitetea hapa hapa JF na sio kukimbila kule kwake Kwanza Jamii!
 
Maggid si mwanahabari gwiji kakataa mwenyewe napata shida kuchangia hoja amabayo najua imechakachuliwa.
 
Maggid tuambie ili ulimwengu ujue kuwa wewe pia ni "green guard" kama wengine. Acha kujificha kwenye kichaka cha uandishi.
 
Majjid ni mwandishi mzuri lakini uwa anapenda kuonekana neutral kumbe sio neutral hata kidogo anashindwa kujizuia na ndipo sisi wengine tunamponda kwa kutokuwa na msimamo. Afadhali ya waandishi kama kina Ngurumo, Tegambwage, Mpayukaji n.k ambao wana msimamo unaojulikana hata kama hoja zao zinachoma au ni unfair kwa wakati mwingine.

Shida ya Majid elimu ndogo na kila wakati anajiona yeye ndo mjuaji zaidi ya wengine. Mie makala zake siku hizi huwa sizisomi kwa kuwa mtazamo wake ni haba sana. anatakiwa ajifunze kuthamini wengine kwa mawazo yao
 
jamani kwani kalazimishwa jamani si aendelee na blog yake jamani kama watu hawakutaki kwann ulazimishe wakupende mbona blog zipo nyingi jamni kwani umaarufu lazima upatie JF jamani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom