Mjengwa, mimi nnakuaminia wewe ni chuma cha pua, huna sababu ya kulia lia kwa kusakamwa humu JF. Unavyosakamwa humu ndio uthibitisho wa power of your writings, yaani maandishi yako ni makali na yanakata na kuchoma kama ncha ya upanga wa makali kuwili.
Hizo critic ndizo tupa zinazozidi kunoa ncha ya mkuki wako kufikia kiwango ukiandika tuu, zitachoma mpaka mioyoni mwa nyoyo za watu
Kuna watu wanazisaka presha wenyewe. Huyu mwenzetu huwa anaanzisha threads kisha huyooooo anakimbilia kijijini anatuacha jukwaani tukiwa na maswali kuliko majibu.Kama anakwazwa na jf, basi asipost wa kusoma... Matatizo mengine ni ya kujitakia... Btw, siamini mtu unaweza kujiuza kwa tofauti za kiitikadi
Mno. hawezi kuwa na akili timamu akaongea vitu vya namna hiyo.
Hivi ameshakaa na kujiuliza kwanini watu wengi wanatofautiana na yeye kifikra?:confused2:
labda ingemsaidia kama angekaa chini kidogo na kutafakari hili.
lazima atakuwa na tatizo :mad2:
Azadirachta, sorry kwenye ma greti sinka mimi simo, samahani sana, mnafikiria kumpotezea wapi?.Great thinker mwingine huyu! wenzako wanafikiria kumpotezea!
Kipimo cha nini ni pumba na nini ni mchele ni relative according to poit of view, huo wewe unaouona ni mchele kwa mwingine ni pumba, sawasawa na pumba unazoziona wewe kwa mwenzio ni mchele kama ilivyo kwa "ganda la mua la jana, chungu aona kivuno".Inawezekana pia ukawa unaandika pumba na watu makini wakakusakama kama inavyotokea kwa Mjengwa.
ana familia kweli huyu?
Of all the People sikutegemea Maggid aandike alichoandika kule kwenye blogu yake....
Nina wasi wasi kuna kitu anataka kuprove kama sio kutaka sympathy ya wasomaji wake
Bottom line ni kwamba hapa ukileta hoja watu wataijadili kwa mapana na marefu...sio kama gazeti ambapo unaweza kuandika then usitegemee response
And who said kwamba yeye hawezi kukosea kihoja, au hata kamayupo sahihi lakini kuna wengine pia wana hoja tofauti nazo ni sahihi
Sasa katika hilo ni kukubaliana katika kutokukubaliana....ukianza kutishia kujinyonga, unaonyesha woga wa wazi wazi wa kupambana na hoja.
Huyu Maggid ndo yule yule wa RAI ya kina Jenerali au siku hizi kabadilika?
mpotezeeni majidi hana mpya......hana jipya....kateni ishu anatupotezea maboya kukata ishu za muajiliwi wake JK
atakuwa anaishi na hawara ila kwa style yake sijui nani atakaubali kuishi nae unajua unavyoishi njke ndivyo ndani huko hivyohivyo pole mjengwa weeeyeeeee kamba ntakutumia nipe adress yako....EMS WANAFIKA HUKOHaonekani kama ni family type....:thinking:
Of all the People sikutegemea Maggid aandike alichoandika kule kwenye blogu yake....
Nina wasi wasi kuna kitu anataka kuprove kama sio kutaka sympathy ya wasomaji wake
Bottom line ni kwamba hapa ukileta hoja watu wataijadili kwa mapana na marefu...sio kama gazeti ambapo unaweza kuandika then usitegemee response
And who said kwamba yeye hawezi kukosea kihoja, au hata kama yupo sahihi lakini kuna wengine pia wana hoja tofauti nazo ni sahihi
Sasa katika hilo ni kukubaliana katika kutokukubaliana....ukianza kutishia kujinyonga, unaonyesha woga wa wazi wazi wa kupambana na hoja.
Huyu Maggid ndo yule yule wa RAI ya kina Jenerali au siku hizi kabadilika?
kaanzisha mwenyewe anatafuta bf na JF Members