Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,234
Ngoja na mie nirudi mjadalani nikapate majibu.
Good to see you back!
Good to see you back!
Mzima kabisa bibiye,za mida lakini?I miss your :redface:sense of humour:redface: for real!
Back to hapa kwenye huu mjadala,nilikuwa najiuliza sana ni kivipi Zomba ataitetea hii serikali,inahitaji moyo bana.Uzuri wa minakasha kama hii,mtu anabanwa na hawezi toka nje ya hoja kwasababu maswali ni vigongo na kila mtu anakusikilizia.Ngoja nirudi kule nione kama kuna lolote kuhusu rushwa,hapo lazima akimbie,la ajabu ni swali ambalo hata mh rais mwenyewe huwa lazima alitolee maelezo popote anapoenda especialy kwenye nchi za donors,sasa sisi wananchi wanaona watuletee hizi maneno za kwenye makabrasha.