Mjadala: Side Comments: Tathmini ya Utawala wa Rais Kikwete (2005-2012)

Mjadala: Side Comments: Tathmini ya Utawala wa Rais Kikwete (2005-2012)

Hizo data zake ziko kwenye makaratasi tu mkuu. Lakini hali halisi haireflect kilichomo kwenye data.

Kwenye uchumi kuna hii ya micro na macro. Wachumi wote wanakubaliana kwamba Macro economics ya Tanzania inaenda vizuri lakini inachukua muda kuwa reflected kwenye micro economic.
 
Mkuu Narubongo kujua sorce ni muhimu pia kwani inaoneka jinsi ulivyo informed. Hivyo zomba yuko well informed
 
Last edited by a moderator:
7. Kuimairisha upatikanaji wa haki kwa watu wenye ulemavu na wazee

Maswali kwa Zomba:

  • Kukamilika kwa sera ya wazee
Je? Hiyo Sera inatekelezwa? Imewanufaisha wazee wa nchi hii? Toa mifano hai.


  • Kukamilisha sera ya watu wenye ulemavu
Je? Hiyo Sera inatekelezwa? Ni kwa nini mauaji ya walemavu wa ngozi yameongezeka kipindi cha Kikwete?


  • Kupitishwa kwa sheria ya walemavu 2010
Je? Hiyo sheria inatekelezwa? Ni kwa nini hata shule zenye watoto wenye ulemavu bado hazina mazingira rafiki kwa walemavu?


  • Kukarabati nyumba za vyuo vya ufundi kwa watu wenye uelemavu.
Toa mifano hai ukilinganisha na vyuo vya ufundi vilivyopo nchini.


  • Kukarabati majengo ya makazi ya wazee
Ni majengo ya wapi hayo yaliyokarabatiwa? Ni mwaka huu tumewaona na kuwasikia wazee wanaoishi katika kambi ya wazee Morogoro wakilalamika kuhusiana na mazingira magumu wanayoishi.


  • Kuhamasisha jamii kuhusiana na utoaji wa huduma kwa watu wenye ulemavu na wazee.
  • Kutoa nyenzo (vifaa) za kujimudu kwa watu wenye ulemavu na wazee.
  • Kuwajengea uwezo wazee na watu wenye ulemavu kwa kuwapa mitaji midogo midogo.
Naomba utoe mifano hai kwa bullets 3 hapo juu.
 
Good Matola nafikiri umejibu vyema kuw aahadi za kaka mkubwa hazitekelezeki hata apewe miaka mingine kumi hakuna litakalofanyika
hapo pumekuw amkweli
Ngoja tumsubiri zomba aje na data z akucopy na kupaste na atuambie ahadi moja baada ya nyingine zilikofika na sio mradi wa maji mbeya kama kielelezo
 
Last edited by a moderator:
Mdomo unaniwasha sana. Tena sana.

How the hell can you create hattred from all employees and expect to win anything in 2015?.
 
Aaaaaah matumbo yani huoni kabisa kuwa zomba ametapika maneno mujarabu kwenye swali la kwanza?

alichofanya ni kuchukua makablasha ya serikali na propaganda zake na kutumwagia hapa...kapoteza radha yote ya mjadala..ila hadi sasa kamanda Matola ametisha.
 
Last edited by a moderator:
bwahahahaha aiseee matola kaua aisee....katiririsha maahadi ya kikwete kudadadadeki aisee.....ahadi kama kilo elfu nane sabini na tisa elfu tano na themanini bwahahahaha .....aisee jk kweli kawafanyia watz utapeli......
 
ila ukweli zomba anaspidi ya ajabu sana katika hata uko kupaste manake ningekuwa mimi ningeanza hata kuedit kidogo lol na siui link ni nape alimpa ama?
 
Last edited by a moderator:
matola uko wapi.. maana umenifurahisha sana kuorodhesha ahadi 69 za brother ambazo kamwe kwa utawla huu hazitekelezeki hata kama tukiwapa miaka mia
 
Muungano, Muungano, Muungano.....chini ya Kikwete tumeona Muungano ukizidi kuyumba je wanazungumziaje hili suala la Muungano chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Jakaya Mrisho Kikwete amefanikiwa kiasi gani kutatua kero za Muungano?
 
Swali kwa Zomba na Matola - katika kipindi hiki cha Ndg. Kikwete, serikali yake imekuwa na slogan ya Economic Diplomacy - diplomasia ya kiuchumi - aina hii ya diplomasia inaendana sana na Economic Intelligence - ujasusi wa kiuchumi - ili ifanikiwe. Lakini, katika hali ambayo imekuwa ni kinyume na essence ya economic diplomacy, katika kipindi chake taifa limeshuhudia state economic interests zikibakwa wazi wazi - kupitia kwa mikataba mibovu na makampuni ya kimataifa, wizi wa wazi wa maliasili zetu n.k. Je, serikali ya Ndg. Kikwete imeweza kutimiza na kuishi kwa uhalisia slogan yake?! Fafanua.
 
alichofanya ni kuchukua makablasha ya serikali na propaganda zake na kutumwagia hapa...kapoteza radha yote ya mjadala..ila hadi sasa kamanda Matola ametisha.
Mkuu katumia report ambazo ni reliable.
 
Naona zomba swali la kutekelezeka ahadi za jk lmemzidi uzito!
 
kikwete kwa mda uliobaki hawezi kutekeleza ahadi zake ..na sababu kubwa kwamba

1.bajeti ya nchi 70% ni matumizi ya kawaida na 30 % ni maendeleo

2. nchi ina deni kubwa sana la 22 trilion maana yake ni kwamba kila raia wa nchi hii anadaiwa tsh. 448000/= hii inajumuisha hata mtoto aliyezaliwa leo

3. rushwa ni tatizo na ufisadi ni tatizo kubwa linaloitafuna nchi hii na kwa kuwa ris hana meno basi kila mtu anafanya hujuma na kuchuku chake huku wakitoa ripor za uongo kwa rais na yeye hafanyi lolote

4. mpango wa maendela aliouzindua mwaka jana katika bajeti hii a mwaka huu hauna pesa kabisa na hivyo kwa mwaka huu hakuna swala la maendela hasa ukizingatia sababu namba 1 hapo juu

5. kazi kubwa anayfanya raisi kwa sasa ni kuzunguka nchi nzima na kufungua miradi iliyoanzishwa hasa na kanisa katoliki na jjuzi pale mbeya amefungua mradi wa maji safi na salama toka kwa wahisani ambao ni changa la macho na hakuujenga yeye lakini alipopewa nafasi ya kuongea akasema ''nimeanza kutekeleza ahadi zangu''

6. makundi na ubabe wa kkila wizara..kuna wiraza waziri na naibu hawaongei vizuri (maliasili)na zingien nyingi au waziri haelewani na katibu mkuu na hvyo kurudhisha nyuma kasi ya maendela na hii yote ni kwa sababu ya watu kuchaguliwa kwa kufuata ushikaji na raisi

7. hawezi kutekelza sabau na yeye ni mwizina anafanya biashara...kila lililojema anapeleka kwenye miradi yake na kila kukicha anafungua makampuni na miradi mipya


8. hawezi kutekeleza hadi zake sababu ya kusafiri sana na kula bata nje ya nchi...kidogo kilichopo jikoni amekomba chote na sasa amehamia kwenye NSSF na ppf za wafanyakazi .................

3.
 
nina wasiwasi na uelewa wa zomba maana tusije kujadiliana na mtu ambaye anaishi sayari ya peke yake au kasahau kumeza dawa asubuhi napita tu maana suala lake liko mahakamani.
 
Back
Top Bottom