naona zomba anacopy na kupaste hotuba za mkapa
Smile hizo stress za kusoma mabilioni ya kwenye karatasi nani anaweza aise
Tunataka uhalisia wake na sio makaratasi ambayo yanaonyesha matakwimu ya mabilioni ila hali halisi ohakuna
Uwezeshaji wa SME's mbona hauonekani kwa hali halisi ni bla bla tuu
hayo mabilioni yalienda kwa watu gani ambao sio small na medium entrepreneurs
maana hayo inawezekana yametolewa kwa ajili ya SME's ila yakaishia kwa big fish
Last edited by a moderator: