swali kwa ZOMBA:...
Mahakama zetu hapa nchini zina uhuru wake, na moja ya mambo yanayokwenda tofauti na na kinyume na uhuru huo ni kuliongelea au kulijadili jambo ambalo lipo Mahakamani.
Swala la Dokta Ulimboka kuna baadhi ya viongozi wa juu wa Serikali walikataa kulizungumzia wakidai kuwa jambo hilo liko Mahakamani, na kwa kulijadili nje ya Mahakama ni sawa na kukiuka au kuvunja sheria zilizowekwa.
Je ni sheria gani iliyochukuliwa na Kikwete mpaka kulizungumzia swala la Dokta Ulimboka ktk hotuba yake ya mwisho wa mwezi uliopita?
Je ni Rais hajui taratibu na sheria za nchi?
Au waliomuandikia hotuba hiyo walikurupuka?
Hebu andika au bandika hapa alichokiongea Rais kuhusu Dr. Ulimboka halafu useme kama hilo linaingiliana na mahakama na kama linaingiliana na mahakama kwa kesi ipi?
Maana unaelezea vitu bila kuviweka wazi.
Na pia weka hayo ya wengine ili tuweze kuchambua pumba na mchele.
Isitoshe, wewe hapa mbona unaongelea ya Dokta Ulimboka, Jee, hujui taratibu na sheria za nchi? Au ulipoandika haya ulikurupuka?
Hata wewe umekurupuka na kuliongelea tena swala la Ulimboka.
Ila naomba jibu la swali hilo na si kujibu kihuni kwa kurudisha swali na maswali kwangu kama ulivyofanya katika maswali meengi ulioulizwa.
Toa majibu yenye maelezo ya kina juu ya maswali unayoulizwa na si kutumia mfumo wa Yesu kurudisha swali kabla hajajibu swali.
wadau tunapakaa Dawa tu, hatusikilizi kelele za Mgonjwa.
Jamani wana JF kuna mambo ni personal zaidi, lakini hili lililonipata naona ni janga, mama yangu mzazi amefail step na alikuwa amefanyiwa oparesheni ya neuron surgeon sasa ametonenesha ile sehemu aliyofanyiwa oparesheni, nimeshinda MOI leo na sikuweza kufanya chochote, Nampenda Mama yangu siwezi kumteleza.
Natumia fursa hii kuwaomba radhi wana JF kwamba wanisamehe kwa kutokupatikana leo, nadhani kwa waelewa wanajuwa vyema uchungu wa Mama. Roulette mimi ndio nimerudi nyumbani sasa hivi wakati waliofunga wanajiandaa kupata daku. tusameheehane ndugu zangu, nina majonzi.

pole sana mpe pia pole mama...jamani wana jf kuna mambo ni personal zaidi, lakini hili lililonipata naona ni janga, mama yangu mzazi amefail step na alikuwa amefanyiwa oparesheni ya neuron surgeon sasa ametonenesha ile sehemu aliyofanyiwa oparesheni, nimeshinda moi leo na sikuweza kufanya chochote, nampenda mama yangu siwezi kumteleza.
Natumia fursa hii kuwaomba radhi wana jf kwamba wanisamehe kwa kutokupatikana leo, nadhani kwa waelewa wanajuwa vyema uchungu wa mama. roulette mimi ndio nimerudi nyumbani sasa hivi wakati waliofunga wanajiandaa kupata daku. Tusameheehane ndugu zangu, nina majonzi.
Jamani wana JF kuna mambo ni personal zaidi, lakini hili lililonipata naona ni janga, mama yangu mzazi amefail step na alikuwa amefanyiwa oparesheni ya neuron surgeon sasa ametonenesha ile sehemu aliyofanyiwa oparesheni, nimeshinda MOI leo na sikuweza kufanya chochote, Nampenda Mama yangu siwezi kumteleza.
Natumia fursa hii kuwaomba radhi wana JF kwamba wanisamehe kwa kutokupatikana leo, nadhani kwa waelewa wanajuwa vyema uchungu wa Mama. Roulette mimi ndio nimerudi nyumbani sasa hivi wakati waliofunga wanajiandaa kupata daku. tusameheehane ndugu zangu, nina majonzi.
thax karibu sanainteresting discussion . . . Big up everybody . . .
Jamani wana JF kuna mambo ni personal zaidi, lakini hili lililonipata naona ni janga, mama yangu mzazi amefail step na alikuwa amefanyiwa oparesheni ya neuron surgeon sasa ametonenesha ile sehemu aliyofanyiwa oparesheni, nimeshinda MOI leo na sikuweza kufanya chochote, Nampenda Mama yangu siwezi kumteleza.
Natumia fursa hii kuwaomba radhi wana JF kwamba wanisamehe kwa kutokupatikana leo, nadhani kwa waelewa wanajuwa vyema uchungu wa Mama. Roulette mimi ndio nimerudi nyumbani sasa hivi wakati waliofunga wanajiandaa kupata daku. tusameheehane ndugu zangu, nina majonzi.
pole sana mpe pia pole mama...
sijambo ..bana lakini mimi sio mtoto jamani..kuna watu nimetoka kugombana nao hapa wananiita lulu ? mimi mzee atiiHujambo mtoto mzuri.