umeona eeeh anatuwekea madata ya kwenye proposal atupe implementation ilikuwakuwaje...yes kuna mabilioni ya kikwete yalitolewa kuna mjf yoyote aliyaona kwa mfano....sijui anacopy wapi na kupaste ..heri wangeweka thread ya mapenzi jamani hii mambo ya nchii hii mimi huwa yananiboa bana
Hizi ni biashara za kucopy na kupaste hakuna implimentation ya hicho anachocopy na kupaste. Huwezi ukasema kuna mikopo na uwezeshaji wa SME's wakati hata hao unaowataja hawajawahi kuuona au kusikia lolo-te kuhusu hilo na unataja mabilioni ya fedha zimetengwa kwa ajili hiyo.
Mfanyabiashara wa pale tunduma au wa pale namanga au wa pale meatu anajua kuwa kuna uwezeshaji wa biashara yake kupitia hizo bilions zinazotajwa Je mkopo wa kaka mkubwa nani aliupata na ulipitia katika mikono ya nani Maana walengwa walikuw awajasiriamali wadogo kuwezeshwa kumudu kufanya biashara za ushindani. Je walifaidika na nini kupitia mfuko huo?