MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

Habarini ndugu zangu. Naomba kuelekezwa kama unataka kuwa youtuber, malipo yanakuwaje yaani hadi uwe na views kiasi gani na ni kwa mda gani unaanza kulipwa ni kila wiki, mwezi au mwaka? Na ni nani responsible wa kuwalipa hawa youtuber? Kama kuna thread inayohusu hili naomba mnitag.
 
Pia kumbuka TCRA wana sheria yao ya kumiliki account ya youtube

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watching hours - 4000
Jumla ya dakika ambazo watazamaji watakuwa wameangalia video zako/yako ifike masaa 4000.

Subscribers - 1000
Ukitimiza vigezo hapa unaqualify kupaya adsense na kuanza kuwekewa matangazo kwenye videos zajo.

Unafikashaje subscribers 1000 na watching hours 4000?
Inategemea na wewe nasijui umeona kitu gani unachojaribu kusolve au "hela/pesa/fedha" ndio imekusukuma kufungua youtube channel?
 
Thanks kuna jamaa aliniuliza nikawa sina elimu hata kidogo ya hili swali.
 
0674565030

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hili swala la TCRA na youtube limekaaje? Kwa mfano mimi napakia content binafsi kama nyimbo natakiwa kutipia hiyo 1M hata kama sinufaiki na chochote?
 
Uzi huu maalumu kwa wote wanaoanza(beginner) pamoja na waliopata uzoefu wa video marketing kupitia YouTube channel

.
.
#Tittle #description #thumbnail #Tags #Cards
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…