Black-Playstation
Member
- Jan 14, 2017
- 88
- 26
inabidi u apply monitazation kama tayari una watch time hours 4000 and 1000 subscribers
>> Anzia hapa: Niulize swali lolote kuhusu kuingiza pesa kupitia YOUTUBENaomba kuelekezwa kama unataka kuwa youtuber, malipo yanakuwaje yaani hadi uwe na views kiasi gani na ni kwa mda gani unaanza kulipwa ni kila wiki, mwezi au mwaka?
Pia kumbuka TCRA wana sheria yao ya kumiliki account ya youtubeHabarini ndugu zangu. Naomba kuelekezwa kama unataka kuwa youtuber, malipo yanakuwaje yaani hadi uwe na views kiasi gani na ni kwa mda gani unaanza kulipwa ni kila wiki, mwezi au mwaka? Na ni nani responsible wa kuwalipa hawa youtuber? Kama kuna thread inayohusu hili naomba mnitag.
Thanks kuna jamaa aliniuliza nikawa sina elimu hata kidogo ya hili swali.Watching hours - 4000
Jumla ya dakika ambazo watazamaji watakuwa wameangalia video zako/yako ifike masaa 4000.
Subscribers - 1000
Ukitimiza vigezo hapa unaqualify kupaya adsense na kuanza kuwekewa matangazo kwenye videos zajo.
Unafikashaje subscribers 1000 na watching hours 4000?
Inategemea na wewe nasijui umeona kitu gani unachojaribu kusolve au "hela/pesa/fedha" ndio imekusukuma kufungua youtube channel?
0674565030youtube ni mtandao ambao unakuwezesha kuweka video yako mtandaoni ili watu waweze kujua kipaji chako kua na channeli yako mwenyewe youtube sio jambo la msingi sana
kwani cha msingi unatakiwa kuifanya channeli yako ikuingizie pesa.kupata p[esa youtube ni jambo rahisi sana unachotakiwa tu ni kukubalika kwa watu kama uanataka kuanzisha
channeli yako youtube kwa lengo la kupata pes basi hapa ndio penyewe keanza kabisa unahitaji uwe na wazo je wazo gani?
ni aina gani ya video utakazo kua unaposti hilo ndilo wazo la msingi kwanza.ktk mawazo ni wewe mwenyewe na ubongo wako kisha baada ya hapo unachoa takiwa unatakiwa uwenagoogle account.
tembelea www.gooogle.com/signin ilikujisajili ukishapata gmail accont yako basi nenda youtube mojakwa moja kupitia www.youtube.com/signup ukisha jiunga na account ya youtube kinacho fuata ni kwenda
hapa www.youtube.com/upload na utaweza kupost video zako na kama ukifanya vizuri basi unaweza ukapata pesa kupitia matangazo kama google adsense.
Kama hujaelewa comment namba yako nikucheki.
Unamaanisha ulikuwa unatafuta jibu kwaajiri ya huyo jamaa yako na sio kujifunza wewe binafsi kama ulivyouliza?Thanks kuna jamaa aliniuliza nikawa sina elimu hata kidogo ya hili swali.
Swali zuriJe,Ni lazima YouTube channel yako kuisajili TCRA?
Hivi hili swala la TCRA na youtube limekaaje? Kwa mfano mimi napakia content binafsi kama nyimbo natakiwa kutipia hiyo 1M hata kama sinufaiki na chochote?Kunga YouTube channel na AdSense n hatua ya kwanza lakini kupata pesa ile inayoitwa mkwanja in hatua nyingine
YouTube wana TOS nyingi kuamzia ubora WA video na content ya video husika
Unaweza kuwa na video 100 lakin suitable for ads n 10 tu.
Pili copy videos aisee hapo utakuwa unapoteza muda wako kwani utapewa banning ya maisha
NB. Kama utaka kucopy plz usicopy video za wanamuziki.
Ili channel yao iweze kutrend fast hakikisha unatunia metadata vizuri( title, description na tags)
Kuanzia trh20 February ili uwe eligible na monetizations ni lazma uwe na subscribers 1000 na watching hours 4000.
Na siotena 10000 views
Viewers 100000= US$ 100= tsh203.000.mnapata shingapi
nasikia viewer 1000 ya watu walioangalia matangazo ndo unalipwa dollar 1
ilinikatisha tamaa niliposikia hivi
Am doneUzi huu maalumu kwa wote wanaoanza(beginner) pamoja na waliopata uzoefu wa video marketing kupitia YouTube channel
.
.
#Tittle #description #thumbnail #Tags #Cards
Kwa kutumia metadataNi njia zipi za kupata subscriber wengi..??
Hakuna maelezo mengine..?Kwa kutumia metadata