Ndondombi Mulin
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 811
- 3,590
kungonoka ni swala la kipekee na la aina yake. Ni muhimu halafu pia ukifikiria sana kama ni Lazima hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa ufupi,ni kwamba watu wanajiendekeza, mana kuna mwingine anakwambia hawezi kulala bila mwanamke au mwanamke anakwambia hawezi kukaa siku tatu bila kufanya sasa uwa najiuliza ni kwanini,na wakikuona we haufanyi wanaanza kukuzushia una majini,jamani siwaelewi ujue namwachiaga Mungu.
Ni Kweli kabisa, apa kuna ukweli, sii watu wengine wanatudanganya tu.Kimaumbile mwanaume ana nguvu nyingi katika sex kuliko mwanamke ndo maana wao hawawezi vumilia muda mrefu kukosa ngono km sisi
Watawa na mapadri hauishi nao usiwasemee aisee kwa navyozijua nyege labda km wanaasiwa
Inawezekana hawapandani lkn wakajichua na kwa upande wa masista wasiharibu bikira zao na bado akakojoa
Mapadri hao wanagonga sana mpk kugeuzana nyuma na mpk kanisa linataka kuruhusu wawe wanaoa hiyo ni dhahiri wanato..ba
Upande wangu mimi uvumilivu bila dudu ni miezi mitatu mwisho ikiwezekana kila wiki nipandwe mechi kali hakika itapendeza
Kweli kabisa nishaishi nchi ya watu busy lakini ikifika hapo huduma inatembea vizur, watu wanakunjana [emoji3]Na hazifai kufugwa
Ni vizur endelea kufunguka kapeace, mi pia napata Raha. Full amani mjengoniJamaani si unajisikia uhai lkn ngoja niongeze zaidi
Same here!Kwangu ni basic need
kapeace uzuri wako na ninacho kupendea huwa unaongea kitu mwaaah kutoka moyoni na cha ukweli sio wengine wanajifanya kuleta porojo na kuongea kama sio wao vile. ntafute nikupe zawadi.Upande wangu mimi uvumilivu bila dudu ni miezi mitatu mwisho ikiwezekana kila wiki nipandwe mechi kali hakika itapendeza
U busy sio substitutionili uweze kukaa mda mrefu bila ku-du !
Kikubwa ni kujiweka busy tu!
Vicheche mmekutanaDu wewe tunaendana kabisa.
Aliyekwambia mapadre na masista hawatiani ni nani. Mapadre wengi wana familia naweza kusema asilimia 90 wote wana watoto kati ya mmoja hadi 3 wengine kila mtoto ana mama yake. Na wengine ni kwa mama mmoja. Masista wengi nao ni vicheche tu. Hata mm nlisoma na sista akawa anagongwa nanmshkaji wangu nlikuwa naye room moja, nina staff mwenzangu ni dereva , kabla ya kuajiriwa alikuwa anaendesha parokiani. Alinielezakuwa amezaa na sister ikabidi aache kazi.Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda mrefu na kwa sauti kubwa bila majibu yoyote. Hivi kungonoka ni hitaji muhimu la binadamu au watu tunajiendekeza tu? Kwani ku-du ni lazima?
Nauliza hivi kwa sababu kuna makundi ya watu kwenye jamii ambao hawafanyi ngono lakini maisha yao yako freshi tu. Tuchukulie kwa mfano mapadri na watawa ambao hawafanyi ngono maisha yao yote. Mbona wako poa tu?
View attachment 723421
Kuna baadhi ya wanaume (mimi nikiwemo) haipiti wiki moja bila kuloweka mashine zao kunako papuchi; hata kama ukiamua kujilazimisha, mwili hukataa kabisa. Sina uhakika wanawake wanaweza kusurvive kwa siku ngapi pasipo kudinywa lakini uzoefu unaonyesha nao pia huhitaji kupachikwa mashine mara kwa mara ili wakae sawa. Ndio maana wanafunzi wa kike wanaoishi mabwenini huku wakifungiwa ndani bila kuruhusiwa kutoka nje ya shule au chuo kuna kipndi huehuka na ku-behave kama watu waliopandisha mapepo; na wakiruhusiwa kutoka nje na kujumuika na “boy friends” wao huko down town “mapepo” yao huisha mara moja.
Wanawake mliomo humu mtatupa uzoefu wenu. Kuna mtaalam mmoja aliwahi kuniambia kwamba wasichana na wanawake wanaweza kukaa muda mrefu zaidi pasipo kushiriki tendo ukilinganisha na wanaume. Ngoja tusiandikie mate wakati wino upo. Kwa kuwa tunao ke wa kutosha humu ndani, ni matumaini yangu kwamba mtatupa uzoefu wenu. Je, mwanamke ana uwezo wa kusurvive kwa muda gani pasipo kunyooshwa viungo? Je, wanaume mnaweza kukaa (maximum) siku ngapi bila kuhondomola? Na je, kuna ushahidi wowote unaoonesha kwamba mwanadamu asipongonoka atatudhurika (kiafya, kisaikolojia, etc)? Hebu tupeane uzoefu.
Nawasilisha.
Unanifanya nacuuum, nicuum¶¶¶¶Hiyo avatar ya kuvutia watazamaji
Ngono hasa kwa mwanaume ni basic need. Usipo pata hiyo maneno lazima dishi lihame mkuu. Japo wewe hutajielewa ila wanaokuzunguka ndo watakuona hauko sawa
Kumbe naeza nkahisi naumwa kumbe tatizo sijapata CHakula cha abdal kiparaNgono hasa kwa mwanaume ni basic need. Usipo pata hiyo maneno lazima dishi lihame mkuu. Japo wewe hutajielewa ila wanaokuzunguka ndo watakuona hauko sawa