Mjadala: Je, ngono ni hitaji muhimu (basic need) au tunajiendekeza tu?

Mjadala: Je, ngono ni hitaji muhimu (basic need) au tunajiendekeza tu?

Kimaumbile mwanaume ana nguvu nyingi katika sex kuliko mwanamke ndo maana wao hawawezi vumilia muda mrefu kukosa ngono km sisi

Watawa na mapadri hauishi nao usiwasemee aisee kwa navyozijua nyege labda km wanaasiwa
Inawezekana hawapandani lkn wakajichua na kwa upande wa masista wasiharibu bikira zao na bado akakojoa
Mapadri hao wanagonga sana mpk kugeuzana nyuma na mpk kanisa linataka kuruhusu wawe wanaoa hiyo ni dhahiri wanato..ba

Upande wangu mimi uvumilivu bila dudu ni miezi mitatu mwisho ikiwezekana kila wiki nipandwe mechi kali hakika itapendeza
Mi huwa naweza kukaa hata mwaka ila nikisaidiwa na Nyeto corresponding na Pono movies, huwa sipendi sana kutumia muda mwingi akili yangu kuipeleka kwenye Sexual intercourse.
 
Ngono ni lazima tumeumbiwa hivyo we angalia kama wanyama wengine wanavyohangaika kwa hii huduma mfano Mbwa anatoka Maili mengi kumfuata jike ambae yuko tayari kwa kugongwa, muangalie Ng'ombe anapotaka kupandwa akikosa Mboo kwa muda muafaka anaweza kuvunja hata Zizi.

Hii inaashiria kwamba hichi kitendo tumeumbiwa nacho viumbe ili tuweze kuiendeleza Dunia ila sisi binaadamu hatufuati mpangilio na kanuni tulizowekewa kulifanya hili jambo
 
Ndo hivyo kwa mwanaume vichoche vikipanda anahitaji kufanya ili awe stable.ndo mana mwaume anaweza asichague mwanamke mambo yakipanda.
 
Sasa kama watanzania hatuna furaha huoni kwamba hiyo furaha kidogo tuliyo nayo inatokana na kuhondomola? Kama isingekuwa hivyo basi furaha yetu ingekuwa 0%.
Tpaul natabili unatokea hii mikoa shy,tbr,gt,smy,mwnz
 
Na ukivuka miezi mitatu bila dudu.... Nini hutokea?
Kabla sijajua ladha ya ngono niliweza kumaliza hata mwaka lkn kwa sasa nasema miezi mitatu napo nimejitahidi to the maximum na tangu nijue ladha halisi ya ngono sijawahi pitiliza miezi hiyo bila kupandwa labda sasa itokee nikose kabisa mpandaji (labda ugonjwa au kuwekwa rumande) vinginevyo ni ngumu maana madume yapo kibao na kujichua kupo pia

Wengi wanakwambia sifanyi ngono ila anajichua wanasahau kuwa hata kujichua nako ni ufanyaji ngono maana umepunguza kiasi fulani cha nyege na miwasho mwilini kwa kujiridhisha mwenyeww
 
Mi huwa naweza kukaa hata mwaka ila nikisaidiwa na Nyeto corresponding na Pono movies, huwa sipendi sana kutumia muda mwingi akili yangu kuipeleka kwenye Sexual intercourse.
Unafanya ngono peke yako bila kushirikisha mwanamke huo ni ufanyaji wa ngono acha kujidanganya
 
Baada ya kuwasoma ngoja nami nichangie kidgo,nmeona watu wanasema mapadre sijui watawa lakin nmedum ktk mambo ya makanisa kwa muda mrefu kidgo,na moja ya shart la kua padre lazima uwe rijali,najua weng hili hawalijui,kama ww ni hanithi wa kuzaliwa hawakupi upadre amin nalokuambia,mapadre wanawagonga sana masingle mother wengi,wanawala masister balaaa,nasema kwa kuona sio kuadithiwa,toka nikiwa darasa la pili mwaka 88 nmeshuhudia haya so mnaposema mapadre hawagong jiukizen vzr.

Pili twende ktk suala la kisaikolojia kuhusu ngono..japo sio mwanasaikolojia ila nina kajielim flan nmejifunza kutoka kwa wabobez wa hii taalum

Ubongo wa binadamu una Njaa kuu nne. Yes njaa kuu nne

1)Njaa
2)Ngono
3)kiu
4)usingizi

Nadhan mmeona namba mbili ni Ngono,ni njaa ga ubongo ambao kikawaida kila dk 7 mwanaume rijali anakua amewaza ngono,so hapa haijalishi utaifanya kwa muda gan iwe mwez,miez miwili,mmiez kumi,miaka miwili lakin ni hitaji la ubongo so utafanya juhud ili ubongo uweze kushiba.

Pia wale ambao wanaamin kwamba mapenz bila hela hayaendi nataka kuwaambia wamekwama katk sekta ya fikra. Maana hela sio moja wapo ya njaa ya ubongo,tunahangaikia vtu ambavyo ubongo unavihitaji lakin sio mwili unavyovitaka..tchao
 
Mbona nimekujibu kule nimekwambiq hivi wanapandana vizuri wakijizuia sana wanajichua km masista huwa wanapimwa bikira zao basi nikutaarifu tu kuwa inawezakana wanajichua pasipo kutoa bikira zao na wanakojoa vizuri mno wanakuwa wamepunguza ashki zao hiyo sio ngono?????????????
Unaongea upuuzi..
 
Inategemea na mindset yako "" umeiweka katika mitazamo IPI ??
kama unaishi na watu ambao ngono kwao nikama Chakula ..kwann usiione kuwa ni basic needs""

Muda wote unatazama tazama mapicha ya ngono tu "" huku stories zenu nikwenda cjui kumgong/kugongwa na nani""" hapo lazima ngono ikuchizishe .....

Ila kama UNA mambo nyeti ambayo nimuhimu kwako zaidi ya ngono ...aiseee haiwezi kuwa ni basic needs
 
Baada ya kuwasoma ngoja nami nichangie kidgo,nmeona watu wanasema mapadre sijui watawa lakin nmedum ktk mambo ya makanisa kwa muda mrefu kidgo,na moja ya shart la kua padre lazima uwe rijali,najua weng hili hawalijui,kama ww ni hanithi wa kuzaliwa hawakupi upadre amin nalokuambia,mapadre wanawagonga sana masingle mother wengi,wanawala masister balaaa,nasema kwa kuona sio kuadithiwa,toka nikiwa darasa la pili mwaka 88 nmeshuhudia haya so mnaposema mapadre hawagong jiukizen vzr.

Pili twende ktk suala la kisaikolojia kuhusu ngono..japo sio mwanasaikolojia ila nina kajielim flan nmejifunza kutoka kwa wabobez wa hii taalum

Ubongo wa binadamu una Njaa kuu nne. Yes njaa kuu nne

1)Njaa
2)Ngono
3)kiu
4)usingizi

Nadhan mmeona namba mbili ni Ngono,ni njaa ga ubongo ambao kikawaida kila dk 7 mwanaume rijali anakua amewaza ngono,so hapa haijalishi utaifanya kwa muda gan iwe mwez,miez miwili,mmiez kumi,miaka miwili lakin ni hitaji la ubongo so utafanya juhud ili ubongo uweze kushiba.

Pia wale ambao wanaamin kwamba mapenz bila hela hayaendi nataka kuwaambia wamekwama katk sekta ya fikra. Maana hela sio moja wapo ya njaa ya ubongo,tunahangaikia vtu ambavyo ubongo unavihitaji lakin sio mwili unavyovitaka..tchao
Well articulated
 
Back
Top Bottom