Mjadala: Je, ngono ni hitaji muhimu (basic need) au tunajiendekeza tu?

Hata uwe busy kiasi gani.NYEGE LAZIMA ZIKUPATE YAAANI NI LAZIMA UTATAMANI MBUNYE.
Watu wanagongana tena maofisini baada ya kumaliza ndo wanajua wapo ofisini kumbe! Cheza na vingine siyo nyege akili huwa inarudi mbinguni kwa mhusika mda huo
 
Ufanyaji ngono ni kujiendekeza tu mbona mapadri hawafanyi lakini wako vizuri?
 
Sio Basic Needs ya binadamu kwasababu Basic Needs haibagui umri wala rika Ukiongelea Basic needs yan watu wote wanahtaj nazo kuanzia Baba, Mama na Mtoto ktk familia mpk Jami kwa ujumla. Sasa je tujiulize na mtoto anahtaji Sex? Kama ni basic needs?
 
Huenda sex isiwe basic need ila ikawa necessity kama ilivyo smartphone na internet au pesa as an adult kwa karne hii
 
Back
Top Bottom