Mjadala: Je, ngono ni hitaji muhimu (basic need) au tunajiendekeza tu?

Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda mrefu na kwa sauti kubwa bila majibu yoyote. Hivi kungonoka ni hitaji muhimu la binadamu au watu tunajiendekeza tu? Kwani ku-du ni lazima?

Nauliza hivi kwa sababu kuna makundi ya watu kwenye jamii ambao hawafanyi ngono lakini maisha yao yako freshi tu. Tuchukulie kwa mfano mapadri na watawa ambao hawafanyi ngono maisha yao yote. Mbona wako poa tu?

View attachment 723421

Kuna baadhi ya wanaume (mimi nikiwemo) haipiti wiki moja bila kuloweka mashine zao kunako papuchi; hata kama ukiamua kujilazimisha, mwili hukataa kabisa. Sina uhakika wanawake wanaweza kusurvive kwa siku ngapi pasipo kudinywa lakini uzoefu unaonyesha nao pia huhitaji kupachikwa mashine mara kwa mara ili wakae sawa. Ndio maana wanafunzi wa kike wanaoishi mabwenini huku wakifungiwa ndani bila kuruhusiwa kutoka nje ya shule au chuo kuna kipndi huehuka na ku-behave kama watu waliopandisha mapepo; na wakiruhusiwa kutoka nje na kujumuika na “boy friends” wao huko down town “mapepo” yao huisha mara moja.

Wanawake mliomo humu mtatupa uzoefu wenu. Kuna mtaalam mmoja aliwahi kuniambia kwamba wasichana na wanawake wanaweza kukaa muda mrefu zaidi pasipo kushiriki tendo ukilinganisha na wanaume. Ngoja tusiandikie mate wakati wino upo. Kwa kuwa tunao ke wa kutosha humu ndani, ni matumaini yangu kwamba mtatupa uzoefu wenu. Je, mwanamke ana uwezo wa kusurvive kwa muda gani pasipo kunyooshwa viungo? Je, wanaume mnaweza kukaa (maximum) siku ngapi bila kuhondomola? Na je, kuna ushahidi wowote unaoonesha kwamba mwanadamu asipongonoka atatudhurika (kiafya, kisaikolojia, etc)? Hebu tupeane uzoefu.

Nawasilisha.
Kuna mtaalamu mmoja wa mambo ya Psychology anaitwa Abraham Maslow aliweka mahitataji kwenye Hierarch of needs. Sex ni miongoni kwa basic human needs.
 
Binadamu ni mnyama aliye kama wanyama wengine ambao wame-evolve kupenda uwepo wake kama specie (sjuwi neno hilo kwa kiswahili), hivyo basi kuzaliana ni suala ambalo hata ukijitahidi kujilazimisha kulikataa mwili wako unalichukulia kuwa ni suala la lazima ndiyo maana mwanaume ambaye hana matatizo anasimamisha, na mwanamke mzima anahitaji la kuingiliwa...ni hali ya miili yetu. Umewahi kujiuliza kwanini wanyama wengi akiwemo binadamu anampenda sana mwanae akiwa mdogo? Huo ni muda ambao offspring wake yuko most vulnerable, hivyo nature inakulazimu kuwa jirani sana na uzao wako ili uulinde uendelee kuwepo. Maendeleo yametufanya tulazimike kufanya ngono kwa ajili ya recreation kwa sababu tumekuwa tukijaribu kulimit idadi ya watoto tunaotaka kuzaa ili kuendana na uwezo wa kuwatunza, lakini miili bado haijabadilika inataka tuzaliane...mwisho wa siku tunalazimika kufanya ngono kama burudani kwa kumeza vidonge na kuvaa vifuko kwenye dhakari zetu ili tusizaliane. Sex ni hitaji la msingi, la lazima!
 
Ngono primarily ni for reproduction,

it has adaptive value,

tuko hapa leo sababu ya ngono za ancestors 😎😎😎😎,

its a way of ensuring we leave offsprings with our genes,

which is ultimate goal for our existence,

Fanya kwa kiasi,lol

tunashauriwa at least three times a week,
 
Safi. Mkuu wewe una uwezo wa kufanywa mara ngapi kwa wiki?
 
Binadamu ni mnyama aliye kama wanyama wengine ambao wame-evolve kupenda uwepo wake kama specie (sjuwi neno hilo kwa kiswahili), hivyo basi kuzaliana ni suala ambalo hata ukijitahidi kujilazimisha kulikataa mwili wako unalichukulia kuwa ni suala la lazima ndiyo maana mwanaume ambaye hana matatizo anasimamisha, na mwanamke mzima anahitaji la kuingiliwa...ni hali ya miili yetu. Umewahi kujiuliza kwanini wanyama wengi akiwemo binadamu anampenda sana mwanae akiwa mdogo? Huo ni muda ambao offspring wake yuko most vulnerable, hivyo nature inakulazimu kuwa jirani sana na uzao wako ili uulinde uendelee kuwepo. Maendeleo yametufanya tulazimike kufanya ngono kwa ajili ya recreation kwa sababu tumekuwa tukijaribu kulimit idadi ya watoto tunaotaka kuzaa ili kuendana na uwezo wa kuwatunza, lakini miili bado haijabadilika inataka tuzaliane...mwisho wa siku tunalazimika kufanya ngono kama burudani kwa kumeza vidonge na kuvaa vifuko kwenye dhakari zetu ili tusizaliane. Sex ni hitaji la msingi, la lazima!
Umeongea vizuri na kwa ukomavu kabisa mkuu. Sex is one of the basic human needs. Ndio maana mtu akikosa ngono kwa muda mrefu huwa kama mwehu.
 
Alokwambia watawa na mapadri hawafanyi ngono nani?? ngono ni hitaji muhimu kwa watu wote na ukiikosa unaweza kuchanganyikiwa akili

Kwahyo hakuna mtawa hata mmoja ambae hafanyi ngono.???? au ni assumption zako tu kutokana na stori ulizowahi kuzisikia
 
hii hoja yako ni kwa waliooa na kuolewa au kwa watu wote? maana ninachojua kama sijaoa siruhusiwi kufanya ngono na HUYO aliyenikataza anayo maarifa yote ya kuniwezesha kuishinda. ile kwamba wazo la kuoa ninalo basi ni hitaji muhimu na pindi nikioa nitalitumia kama inavyopaswa kwani anasisitiza tukishaoana tusinyimane.
 
Shetani ana nguvu sana, wote hapa mko upande wake, ni dhambi kufanya ngono kabla ya kuoa...unapojiona kuwa huwez kukaa muda mrefu bora uowe bila kuangalia hali yako ya maisha ikoje, mimi toka 2016 sijafanya ngono na niko sawa.
 
Basic needs (mahitaji ya lazima kwa mwanadamu)

Chakulana maji ni mahitaji ya lazima hivi ukivikosa utakufa

Mavazi na makazi ni mahitaji ya lazima hivi ukivikosa utadhalilika na pia unaweza kupata maradhi

Ili uwe navyo inabidi uwe na pesa

Vingine vyote vilivyobaki ni visaidizi sijawahi sikia mtu amekufa kwa kukosa ngono
 
[HASHTAG]#kibosho1[/HASHTAG]. tunayaweza yote kwa YEYE anayetutia nguvu. kwa kweli kutofanya ngono kabla ya kuoa inawezekana. lazima tuikimbie zinaa
 
Basic needs (mahitaji ya lazima kwa mwanadamu)

Chakulana maji ni mahitaji ya lazima hivi ukivikosa utakufa

Mavazi na makazi ni mahitaji ya lazima hivi ukivikosa utadhalilika na pia unaweza kupata maradhi

Ili uwe navyo inabidi uwe na pesa

Vingine vyote vilivyobaki ni visaidizi sijawahi sikia mtu amekufa kwa kukosa ngono[/QUOTE
Basic needs (mahitaji ya lazima kwa mwanadamu)

Chakulana maji ni mahitaji ya lazima hivi ukivikosa utakufa

Mavazi na makazi ni mahitaji ya lazima hivi ukivikosa utadhalilika na pia unaweza kupata maradhi

Ili uwe navyo inabidi uwe na pesa

Vingine vyote vilivyobaki ni visaidizi sijawahi sikia mtu amekufa kwa kukosa ngono
Basic needs (mahitaji ya lazima kwa mwanadamu)

Chakulana maji ni mahitaji ya lazima hivi ukivikosa utakufa

Mavazi na makazi ni mahitaji ya lazima hivi ukivikosa utadhalilika na pia unaweza kupata maradhi

Ili uwe navyo inabidi uwe na pesa

Vingine vyote vilivyobaki ni visaidizi sijawahi sikia mtu amekufa kwa kukosa ngono
inawezekana mkuu ukawa upo sahihi ila fahamu mwanadamu kaumbwa kwa natamani,hata kinyumbani vijana wanapoanza kuwa na dalili ya uchizi anakimbiziwa mke ili apate kutulia, inaweza ikawa nihitaji muhimu kwa wengine
 
Shetani ana nguvu sana, wote hapa mko upande wake, ni dhambi kufanya ngono kabla ya kuoa...unapojiona kuwa huwez kukaa muda mrefu bora uowe bila kuangalia hali yako ya maisha ikoje, mimi toka 2016 sijafanya ngono na niko sawa.
Mkuu rudia tena kusoma uzi. Hakuna mahali panapohamasisha ngono nje ya ndoa.
 
hii hoja yako ni kwa waliooa na kuolewa au kwa watu wote? maana ninachojua kama sijaoa siruhusiwi kufanya ngono na HUYO aliyenikataza anayo maarifa yote ya kuniwezesha kuishinda. ile kwamba wazo la kuoa ninalo basi ni hitaji muhimu na pindi nikioa nitalitumia kama inavyopaswa kwani anasisitiza tukishaoana tusinyimane.
Ni kwa waliooa tu mkuu.
 
Back
Top Bottom