tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,649
- 29,013
- Thread starter
- #101
Ni kweli mkuu. Shuleni kwetu Mara kulikuwa na mwalimu bachelor anaitwa RUBA. Huyu jamaa alikuwa na hasira za hapa na pale ambazo hazina msingi wowote. Mnaomfahamu Ruba mnakumbuka vzr jambo hili.Kwanza maumiv ya mgongo,kiuno,na miguu hapa utavisikia km vinakakamaa .
Kushuka kwa ufanisi wa mambo ( ikiwa huna mazoezi ya mwili mengine) lkn pia inakufanya uwe mtu wa hasira , mawazo , bado hujasahau afya ya ngozi yako.
Sema nn hayo yote namengine hayatokuwepo ikiwa utakua mtu wamazoezi ,unayesali .