Mizinga aina ya HIMARS (High Mobility Artillery Rockets System)

Mizinga aina ya HIMARS (High Mobility Artillery Rockets System)

HaHakuna mtu muongo kwenye jamii forrum kawa wewe.comment zako ni za uwongo na za maaba kwa USA.TALIBAN walikuwa wanamiliki majimbo mengi tu wala hawakuwa ni watu wa kujificha kwenyee milima,wewe unataka kutuaminisha kuwa Taliban walikuwa wanapigana vita ya kuvizia wskati sio kweli
Jamaa ni muongo muongo sana kama hauna uwezo wa ku- think beyond lazima akuteke [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ila myonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Mzawa huko very rational and we'll detailed when it comes to military knowledge and it's explanation.

Wanaokataa kujifunza kutoka kwako watakuwa funza. [emoji41]
Tena takataka kabisa
 
Ninachohisi labda Russia kainvest zaidi kwenye nukes na sio urban to urban combat za close quarter battle Kama USA na other allies ndio maana anapata shida saana kufanya operation ya kawaida Kama ya Ukraine kuwa full scale war.

Imagine kama S-400 inachechemea kudetect normal attacks Kama za HIMARS, je zikija zile advance zaidi itakuwaje? It will be a potential disaster.

Let's wait.
Zile F35 sijui F18 au F14 zinabeba mashine zinaitwa JASSM, hatari mno. Zenyewe ni mahususi kupaua zile core za adui mfano defence system za adui, meli n.k

Yaani hii JASSM inaachiliwa km kadhaa kutoka pale adui alipo na ipiga palepale hata kama object ikawa inasogea.
 
Swali hili pia litajirudia hapa.
Wiki iliyopita Ukraine ilishambulia miundombinu ya Mafuta ndani ya Russia Kwa kutumia vile vidrone (quadcopter) vile vinauzwwa AliExpress na Alibaba Kwa Bei rahisi,je ilikuaje Russia yenye mifumo yenye nguvu ambayo mnaisifu kila siku humu kina S400,S300,Pantsir ishindwe kutungua vile vi-obsolete drone?!

Na mpaka sasa Ukraine hawajarusha hata jiwe kwenye hilo Daraja la Crimea waliishia kutoa vitisho tu sijui hizo habari umezitoa wapi

Lakini pia NI ukweli usiopingika na video zipo YouTube ammunition depot, command post zimepigwa Sana na hizo HIMARS Hadi kuna jamaa mtangazi wa Urusi (jina limenitoka) akawa anasema kwann Putin asiishambulie Marekani moja Kwa moja sababu silaha walizopeleka (HIMARS) zinaua watu wao.

NB:Hizo HIMARS si kwamba haziwezi kuharibiwa,La hasha! Ila NI kwamba ni ngumu kuzitarget sababu baada ya mashambulizi zinahama zinaenda mahali pengine. Warusi wakija kufanya counter attack wanapiga empy target sababu mtambo ushahamishwa. Pia mpaka sasa Ukraine iko outgunned na Russia kwenye kila mizinga 40 wao wanaweza kujibu mmoja (outgunned 40:1)
Kwa utahiri huu wa Russiaz angeivamia nchi kama UK France, Italy n.k hakika angechapika vibaya mno.
 
Vita ilishapita hiyo phase baada ya Russia kukimbia Kiev na kujikita kule Donbas. NLAW na Javellin zilitumika kulipua vifaru na magari ya warusi yaliyokua yakiingia mjini,au umesahau ule msafara wa 40km ulivyosambaratishwa wote?!

Kuhusu stinger,jiulize kwanini mpaka sasa Urusi harushi tena ndege zake kwenye anga la Ukraine anaishia kulauch expensive missiles tokea kwake au baharini.
Kifaru chako kikiwa targeted na Javeline tu, ujue ndo mwisho wako. Helikopta ikilengwa na Stinger tu, heri S300 ila sio hizi Stinger, hazikosei kabisa.
 
Mimi siko upande wowote ule na nafuatilia toka mwanzo wa huu mzozo.

Sipendi huwo mzozo lakini endapo huyo mnaemtaka aingie (USA) hamjui kwamba kila kitu kitaharibika nikimaanisha hali za uchumi dunain kwasababu asilimia kubwa zimeshikiliwa na yeye.

Na vilevile ni vita vya tatu vya dania nahissi vitakuwepo vizazi vitaumia sana.


Anachokifanya usa labda ni msaada wa silaha tu kwa Ukraine ili awezekujilinda na sio kuingia. Tuacheni ushabiki maandazi wa kwamba urusi amesema hata usa aingie vitani. Hayo tunayo yafurahia tutayachukia ikitokezea kweli hapo mbeleni.


Huku afrika bado tuko nyuma sana kimaendelleo na kwa kila kitu. Mfano tu USA aseme azuiye kila kitu chake kila nchi ijitegemee ikiwemo kiuchumi kiteknologia itakuwaje mfano?? Sitoi ushabiki.


Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Akigoma maana yake hata hizi simu hatutakuwa nazo, na tukiwa nazo Internet hakuna, ving'amuz vyote chini. Hapo upande wa teknolojia tu, ishu za afya ndo usiguse kabisaaa.
 
Radar ya kisasa ya Urusi inayotumiwa na S400 imeenda na HIMARS
3248a37646deee213be0e62e85fb7099.jpg
 
Sina Utaalamu wa zana za Kivita ila nimevutiwa kuijua zaidi mizinga hiyo ya Kivita natumai humu kuna wajuzi/wajuvi wa mambo hayo.

HIMARS tangu zimeingia Ukraine kutoka Marekani zimebadilisha kila kitu wao wanaziita game changer, na Marekani kaziingiza nne tu pale Ukraine ila Warusi wanaziwinda kwa kila njia kupitia Drones zao, Su, Mig zao...nk

Sio Ajabu sana kushangaa Jana Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema imeziharibu 2 ila Waziri wa Ukraine alikuja kukanusha.

Rais wa Marekani Biden aliwapa Ukraine Aina ya Short/minimum range akiogopa kuwapa za Long range kwa kuhofia jamaa wanaweza kugusa pale Moscow.

Ukiangalia kwa Sasa Maghala mengi ya Silaha za Warusi ni moto kila kona, HIMARs zinafanya kazi Ukraine wanasema wangepewa hizi mapema wangepunguza maafa na pia vifo.

Baada ya Mizinga hii kutua Ukraine, Russia wameanza mafunzo ya kulilinda Daraja linalounganisha Crimea wakihofia jamaa wanaweza kuligusa, nimeona Warusi wamepeleka magari pale kazi yake yanatoa Moshi mwingi na kulificha daraja yanaitwa sijui Smoke nini.. Sio mtaalamu sana.

Mtaalamu/wataalamu wa haya mambo waje watupe maarifa zaidi.
Kwa kifupi hiz MLS zinacho zifanya ziwe special ni kuwa Zina elekezwa GPS.
saintjavelin-20220718-0003.jpg
 
Kwa nilichoona US alikuwa anaogopa mzigo wake kuchukuliwa au kuharibiwa ndo maana akapeleka chache.
Kwa sasa keshaona Ukraine sio waoga na wanafanya kweli ndo maana kaongeza

Nzuri zaidi kawapa ammunation 1000 ambazo ziko accurate kuliko zote duniani, nimesoma mahali kuwa thamani ya hizo 1000 ni zaidi ya 100mil usd
Alizo toa ndo bei rahisi Moja ni$ 70000
images%20(1).jpg
 
Back
Top Bottom