Urusi walalamika kuhusu uwepo wa wanajeshi wa Marekani wanaoelekeza namna ya matumizi ya HIMARS

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,533
47,777
Maana kwamba HIMARS ni too advanced kutumika na wanajeshi wa Ukraine wenyewe bila kuwa na waelekezaji, ni zana ambazo zimesababisha majanga makubwa sana kwa Urusi na kubadilisha mkondo.

Mpaka sasa zimetumika kulipua maghala 50 za silaha za Warusi pamoja na maangamizi mengine, Warusi wanazisaka usiku na mchana, wamezikalia vikao, wamezijadili na kuzilaani ila bado muziki ule ule, na Marekani tayari wanaongeza zingine.

Kuna madude aina nyingi bado Marekani hawajawapa Ukraine, na tayari Urusi wamejichokea, hizi HIMARS ni chombezo tu la kujaribisha uwanja, binafsi hata sikua nafahamu kuna silaha aina hii ya HIMARS.
======================

INTERACTIVE-HIMARS.png

Ukraine said it has used US-supplied HIMARS rocket systems to destroy 50 Russian ammunition depots since receiving the weapons last month, while Russia has claimed its forces destroyed a HIMARS ammunition depot in Ukraine’s Khmelnytskyi region.

Moscow has previously said it has destroyed several of the high mobility artillery rocket systems (HIMARS) supplied to Ukraine by the West, in claims denied by Kyiv.
On Monday, Ukraine’s defence minister Oleksiy Reznikov underlined the growing impact that the HIMARS appear to be having as Ukraine tries to repel Russia’s invasion.

“This cuts their [Russian] logistical chains and takes away their ability to conduct active fighting and cover our armed forces with heavy shelling,” Reznikov said in comments on national television.

Reznikov’s remarks could not be independently verified. Russia did not immediately comment on the claims.

Reznikov said Ukrainian artillery crews had conducted “precise” attacks on several bridges. He gave no details but was apparently referring to three river crossings in the Russian-occupied Kherson region, which local occupation authorities say were attacked by HIMARS over the past week.

Reznikov also said Ukraine had received three Gepard anti-aircraft armoured fighting vehicles, the first of 15 expected, and that Kyiv was expecting to take delivery of several dozen Leopard tanks.

Russia meanwhile says it has destroyed several HIMARS, though Ukraine has denied this. In the latest such report, Russia’s defence ministry said on Monday its forces had destroyed an ammunition depot for HIMARS in the Khmelnytskyi region in western Ukraine.

Ukrainian officials have said repeatedly that Western supplies of weapons are critical to Ukraine’s military effort, and underlined the importance of the HIMARS because of Russia’s artillery supremacy in terms of numbers and ammunition.

HIMARS are a high-tech, lightweight rocket launcher that is wheel-mounted, giving it more agility and manoeuvrability on the battlefield.
Each unit can carry six GPS-guided rockets, which can be reloaded in about a minute with only a small crew.

Analysts say the system has a longer range and is more precise than the Soviet-era artillery that Ukraine had in its arsenal.
Russia has criticised the United States in particular for providing Ukraine with instructors to help Ukrainian forces use HIMARS.
Russia, which invaded Ukraine on February 24, has captured a chunk of territory in southern Ukraine and used its artillery supremacy in the east to make gradual territorial gains.

HIMARS njoo huku wenzio wametajwa

Wajuzi wa silaha hivi haya madude ya HIMARS yameibukia wapi maana sikua nayafahamu, nimesoma sehemu kwamba kuna aina nyingi za silaha ambazo bado Ukraine hawawezi kuzitumia maana hawana utaalam wake, wanajeshi wengi wa Ukraine wamesafirishwa kwenda Ulaya kupata utaalam huo.

Wakiiva vizuri watatua nazo nyumbani kishujaa na kuendeleza muziki, mnaoshabikia Urusi muendelee kukaa papo hapo wala msizinduke.
 
Nikiikumbuka asikari wa parachute walivyokuwa wanatua kama mvua pale Kyiv na hatimaye wakafyekwa wote ..,alafu anatokea mtu anakwambia kuwa urusi hakuwa na lengo la kuiteka Kyiv Wala kuipindua serikali ya zelensiky ..,bila aibu mtu anakwambia kuwa urusi aliondoka pale Kyiv kwa makubaliano maalum ..,nawaangalia nasema hiiiiiii! Baghosha..,all in All urusi anavuna alichopanda, operesheni ya saa 72 imegeuka vita ya mda mrefu
 
Biden alimwambia putin for god sake wish if he could knw what is ahead of him
 
Wajuzi wa silaha hivi haya madude ya HIMARS yameibukia wapi maana sikua nayafahamu, nimesoma sehemu kwamba kuna aina nyingi za silaha ambazo bado Ukraine hawawezi kuzitumia maana hawana utaalam wake, wanajeshi wengi wa Ukraine wamesafirishwa kwenda Ulaya kupata utaalam huo.

Wakiiva vizuri watatua nazo nyumbani kishujaa na kuendeleza muziki, mnaoshabikia Urusi muendelee kukaa papo hapo wala msizinduke.
Sikujua kama uko nyuma hivi kwa technology za sasa
Hivi unashangaaje kwa silaha wakati hata gari hizi za sasa huwezi kujua kuzitumia mpaka ufundishwe?

Unafikiri gari za sasa ni gear na breaks na acceleration tu
Jifunze sana mkuu kumbe bado mengi ya kuona sio kusikia tu
 
Aaah wapi sasa wewe hapo Buza unataka kujifanya unajua aina zote za silaha, kwangu mimi kushangaa HIMARS sio ushamba ila nakiri sikua nazijua maana sio kila mtu anajua kila aina ya silaha, hata mle ndani JWTZ utakuta kuna wajeda ambao hawakua wanazifahamu, na mpaka sasa Marekani hawajaachia aina nyingi ya silaha ambazo hamzifahamu, itabidi wanajeshi wa Ukraine waende wakapate darasa kimya kimya kwanza.

Ulimwengu wa teknolojia unazidi kupaa kwa mwendo kasi na ni ujinga kuita mtu mshamba kisa amekiri hakua anaijua aina fulani ya teknolojia, mimi binafsi ni computer programmer tena mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka kumi ila kila nikijikagua nakuta hata sijakidhi asilimia 20% ya fani yangu maana ni pana kishenzi, mavitu yanaibuka kila siku.
 
Nikiikumbuka asikari wa parachute walivyokuwa wanatua kama mvua pale Kyiv na hatimaye wakafyekwa wote ..,alafu anatokea mtu anakwambia kuwa urusi hakuwa na lengo la kuiteka Kyiv Wala kuipindua serikali ya zelensiky ..,bila aibu mtu anakwambia kuwa urusi aliondoka pale Kyiv kwa makubaliano maalum ..,nawaangalia nasema hiiiiiii! Baghosha..,all in All urusi anavuna alichopanda, operesheni ya saa 72 imegeuka vita ya mda mrefu
Binafsi naamini kuwa Russia ningekuwa smart wangepata wanacho kutaka Bila kurusha hata risasi moja.......
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom