Decibel
Senior Member
- Nov 30, 2019
- 176
- 323
Angalia pale juu zinaposoma network barWapi umeona wameandika kuna laini mbili?
Angalia pale juu zinaposoma network barWapi umeona wameandika kuna laini mbili?
Taliban sio jeshi, ni ideology na chama cha siasa kile, na isitoshe Marekani ilikitimua madarakani. Suala lililobaki ni Afghanistan yenyewe kujilinda, yaliyotokea after Marekani kuondoka haimhusu jeshi lake sio kwa ajili ya kulinda nchi zisizo na manufaa. Unless kama ulitaka wafe wafu kibao, Marekani ilikaa Afghanistan miaka 20 hao Taliban wakijificha milimani leo Marekani kaondoka mnakooa. Miaka 20 yote wako mafichoni nchini kwao wenyeweHiyo technology wangeitumia Afghanistan wangewamaliza wa Taleban na vita isingechukua miaka 20
, [emoji1787][emoji1787][emoji1787]acha longolongo
Hakuna mtu muongo kwenye jamii forrum kawa wewe.comment zako ni za uwongo na za maaba kwa USA.TALIBAN walikuwa wanamiliki majimbo mengi tu wala hawakuwa ni watu wa kujificha kwenyee milima,wewe unataka kutuaminisha kuwa Taliban walikuwa wanapigana vita ya kuvizia wskati sio kweliTaliban sio jeshi, ni ideology na chama cha siasa kile, na isitoshe Marekani ilikitimua madarakani. Suala lililobaki ni Afghanistan yenyewe kujilinda, yaliyotokea after Marekani kuondoka haimhusu jeshi lake sio kwa ajili ya kulinda nchi zisizo na manufaa. Unless kama ulitaka wafe wafu kibao, Marekani ilikaa Afghanistan miaka 20 hao Taliban wakijificha milimani leo Marekani kaondoka mnakooa. Miaka 20 yote wako mafichoni nchini kwao wenyewe
Mmh wew bana hebu fuatilia habari bila ushabiki. Russia ana uwezo wa kuzima satellite za babeberu zote zisome ukungu tuPoint ni ileile. HIMARS ni mobile target, hujui zinalala wapi na zinaamkia wapi. Precision strike kwenye ammunition depot za Ukraine ni rahisi kwa kuwa zimejificha lakini zimetulia sehemu moja ukizigundua kwa siri leo unafanya mashambulizi hata kesho.
Russia satellite system yao ya GLONAS huwa sio reliable wala accurate. Wewe lini uliwahi ona vifaa vya mawasiliano hapa Bongo vinatumia GLONAS. Mara zote tunatumia GPS ambayo ni zao la jeshi la Marekani na ndio walifanya GPS itumike kiraia. Na Russia hawana satellites nyingi sana angani, na hazina uwezo mkubwa sana. Hata China na BeiDou yao ya juzijuzi hapa wana satellites nyingi nadhani wataizidi au washaizidi Urusi
Marekani nayo inawatraine Wanajeshi 600 wa Ukraine jinsi ya Kurusha na kuendesha ndege za Kivita za Marekani (F-16). Wanamaliza Mafunzo mwezi December mwaka huu. Kwahiyo hii Vita Kama sio Makubaliano ya Amani,Tujiandae Vita kuwa Kubwa Sana mpaka ndani ya Urusi.Unaona mbali Sana, yaani inaonekana wazi kabisa vita ndo imeanza hata mimi nimeona uk inatoa mafunzo ya kutumia mizinga na sehemu nyingine inafundisha makurutu kalibu elfu Kumi wa ukraine
Wakati wewe unasema Ni Operation ndogo TU,Wakati huohuo Urusi imeanza kuwasomba maelfu ya Wanajeshi wa akiba kwenye mpaka wake na Ukraine. Pia,Wanajeshi wa Beralus nao wanajiandaa Kuingia vitani upande wa Urusi.Jeshi la Ukraine lilianza kupata mafunzo ya kijeshi toka West since 2014 waliponyang'anywa Cremea. Ikiwa mafunzo ya toka 2014 hayajawasaidia, haya wakati wa vita yatawasaidia??
According to viongozi wa Russia, kinachoendelea pale Ukraine ni operation ndogo sana, na juzi wamesema ikiwa watu wanafikiri watawashinda kwenye battlefield bas wajaribu.
Minds you , Ukraine kapoteza donbase jamaa bado wanatembeza dudu, hii ina maanisha wanataka the whole Ukraine... ni huzuni sana.
Mkuu sio wanajeshi tuu kuna taarifa zimetoka juzi Urusi anashawishi wafungwa wake wajitolee kwenda vitani mstari wa mbele kwa ahadi ya kulipwa ruble pamoja na kusamehewa kifungo endapo watarudi salama.Wakati wewe unasema Ni Operation ndogo TU,Wakati huohuo Urusi imeanza kuwasomba maelfu ya Wanajeshi wa akiba kwenye mpaka wake na Ukraine. Pia,Wanajeshi wa Beralus nao wanajiandaa Kuingia vitani upande wa Urusi.
Sasa tunaomba utueleze,Ni Operation gani ambayo mpaka Wanajeshi wa akiba wanaandaliwa kwenda kutoa msaada kwenye uwanja wa Vita tangu Dunia iumbee?
Wafungwa wasio na mafunzo yoyote ya kijeshi ?...kwani hawana askari wa akiba mpaka watumie hao wahalifu ?....Mkuu sio wanajeshi tuu kuna taarifa zimetoka juzi Urusi anashawishi wafungwa wake wajitolee kwenda vitani mstari wa mbele kwa ahadi ya kulipwa ruble pamoja na kusamehewa kifungo endapo watarudi salama.
Wafungwa wasio na mafunzo yoyote ya kijeshi ?...kwani hawana askari wa akiba mpaka watumie hao wahalifu ?....
Anyway hivi Vita vimejaa propaganda nyingi sana kutoka kila upande.
Fuata hii link mkuu Putin is allegedly recruiting prisoners and paying £3,000 to fight for Russia in UkraineWafungwa wasio na mafunzo yoyote ya kijeshi ?...kwani hawana askari wa akiba mpaka watumie hao wahalifu ?....
Anyway hivi Vita vimejaa propaganda nyingi sana kutoka kila upande.
Urusi mwenyewe aliikimbia Afgan muulize General PavelHiyo technology wangeitumia Afghanistan wangewamaliza wa Taleban na vita isingechukua miaka 20
, [emoji1787][emoji1787][emoji1787]acha longolongo
Hata kama anazo hazina uwezo huo wa HIMARS, ikiwemo accuracy yake ya kupiga/kulenga target kwa ufasaha.
T14 Armata
Ndio nashangaa jamaa hapo kusema RUSSIA kaingia hasaraHa ha ha. Russia imepata mapato makubwa katika kipindi hiki kuliko kabla ya operation. Rudi katika vyanzo
KabisaaaHio ni iPhone 13 pro max ..angalia GLONASS hapo utaikuta. ..kunavitu nakuonaga upo vizuri ..ila kiu halisia una mahaba sana na American weapons and its technologyView attachment 2285854
Hayo ni maandishi, ground mambo ni tofauti. Russia iliyoshindwa kufanya cyber attack kwa satellite za Elon Musk ndio iweze zuia za serikali ya Marekani. Satellites zinazotoa huduma ya internet ya Starlink nchini Ukraine ambazo ndio wanatumia kwa sasa baada ya Urusi kuharibu mitambo ya simu ardhini zimeshindikana kuwa hacked, majaribio yote waliyazima bila hata kuumiza kichwa wala kuomba msaada Idara ya Ulinzi ya Marekani.Mmh wew bana hebu fuatilia habari bila ushabiki. Russia ana uwezo wa kuzima satellite za babeberu zote zisome ukungu tu
Kwa tekinolojia ya jeshi Russia katangulia mbele sana
Ukiskia iskander M usiongee Sana. Wazungu wakisikia TU zinasogezwa kuelekea magharibi mwa Russia utaskia kelele nyingi kila Kona.Iskander-M huwa inakuwaga camouflaged msituni na hupiga high precise strike kuelekea Ukraine tena kwa umbali mrefu , lakini sijasikia zikisiwa sana kama hizo HIMARS , lakini ni silaha nzuri na West hawaziongelei
Sio wewe pekeyako mimi toka tarehe 18 June had sasa.Asee ninapata shida kwenye kuona NOTIFICATION tokA tarehe 17.6.22 mpaka leo.
Nimejaribu kuapdate, ku install na install upya lakini wapi.
Naomba kusaidiwa.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Russia wanna MRLS nzito na za kutisha zaidi Kuna hiyo iitwayo smertch, Uragan na Tos1A.Kwa maana unataka Russia awe mtumwa kama sisi atumie brand kama jina la hivyo au awe ni replica?