T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,927
- 47,182
Hapo bado hawajaleta rockets za range ya 300kmZimeongezwa 4 tena[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Hapo bado hawajaleta rockets za range ya 300kmZimeongezwa 4 tena[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Huyo kajisahau na hata angetaka kusema km/hr hizo 4000 ni ndogo. Escape velocity ya roketi kutoka duniani inazidi km elfu kumi na kitu kwa saaMkuu kilomita 4000 kwa dakika, hivi hizo kilomita 4000 unazijua kweli, ama umekosea kuandika?
Humu wengine wanapenda ligi tu. Yuko busy kubisha kwamba Russia anashindwaje kupiga ground target na wakati anaweza air targets. Maelezo kibao toka jana natoa bado hataki. Ukimuuliza kwanini Russia kashindwa kuzipiga HIMARS na ziko ground hana jibuIla myonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Mzawa huko very rational and we'll detailed when it comes to military knowledge and it's explanation.
Wanaokataa kujifunza kutoka kwako watakuwa funza. [emoji41]
Sasa utapigaje wakati Ukraine huwa ina change launching site hata hivyo Russian ground force wameanza kuyakamata makombora yake (HIMARS)Humu wengine wanapenda ligi tu. Yuko busy kubisha kwamba Russia anashindwaje kupiga ground target na wakati anaweza air targets. Maelezo kibao toka jana natoa bado hataki. Ukimuuliza kwanini Russia kashindwa kuzipiga HIMARS na ziko ground hana jibu
Inabidi unionyeshe wapi nimesema Russia hawana military satellites. Kwanini mnateseka humu Marekani ikitajwa? Kwanini msiseme hiyo capability kama ipo Russia badala yake mnadai "kwani Russia hana rockets, kwani hana military satellites".Usinilazimishe kufikiri kama unavyofikiri wewe .. Kwahiyo unatuhakikishia urusi hawana military satellite za kuona hizo mobile target za ground?
Kwamba anazo peke take USA ?
Itakuwa vita kubwa sana middle eastIsraeli (kipenzi cha Marekani) ana ugomvi na iran, we unahisi israel hatamani kufumua yale mahandaki, hatamani kujua yalipo, kama Marekani anayaona nje nje, kwanini asimsaidie israel afumue fumue pale
Mimi uzuri wangu nasikiliza with intent of understanding the situation na sio intent ya kubishana.Humu wengine wanapenda ligi tu. Yuko busy kubisha kwamba Russia anashindwaje kupiga ground target na wakati anaweza air targets. Maelezo kibao toka jana natoa bado hataki. Ukimuuliza kwanini Russia kashindwa kuzipiga HIMARS na ziko ground hana jibu
Sijui Russia atawavamia waliotoa silaha kama alivyosema mwanzo. Na atawavamia Finland kisa wanajiunga NATOUkraine says arrival of Western weapons is already «changing the course of the war»
Thanks to the arrival of Western weapons so often demanded by Kiev, the Ukrainian Army has managed to destroy some ammunition depots in the territories occupied by Russian troops in the east of the country.
Mimi uzuri wangu nasikiliza with intent of understanding the situation na sio intent ya kubishana.
HIMARS inabidi tukubali Hadi Sasa zimekuwa ngumu saana kuzi neutralize kwa sababu ya mobility yake baada ya kuattack.
Watu baada ya kutaka kujua kwanini zimekuwa efficient wao wanabisha kwa kuchagua upande wa mabishani ya Russia na Ukraine.
Imbecilic [emoji52]
Inabidi unionyeshe wapi nimesema Russia hawana military satellites. Kwanini mnateseka humu Marekani ikitajwa? Kwanini msiseme hiyo capability kama ipo Russia badala yake mnadai "kwani Russia hana rockets, kwani hana military satellites".
Swali lipo palepale, kwanini Russia anashindwa kupiga HIMARS, na wakati ameweza kupiga fighter jets za Ukraine. Ukishindwa kujibu hapa hakuna ulazima wa kubishana kwenye ground target vs air target
Swali hili linajirudia. Kwanini Israel iishambulie Iran. Kwanini Marekani iishambulie Iran? Ili iweje yani.Israeli (kipenzi cha Marekani) ana ugomvi na iran, we unahisi israel hatamani kufumua yale mahandaki, hatamani kujua yalipo, kama Marekani anayaona nje nje, kwanini asimsaidie israel afumue fumue pale
Aione tomaso CainanSasa utapigaje wakati Ukraine huwa ina change launching site hata hivyo Russian ground force wameanza kuyakamata makombora yake (HIMARS)
Hujajibu swali, ila tuachie hapo, nahisi akili yako ipo kwenye ubishi wa upande, nilikuuliza kwa bi maana niongeze maarifa.Swali hili linajirudia. Kwanini Israel iishambulie Iran. Kwanini Marekani iishambulie Iran? Ili iweje yani.
Kama vita ni ya lazima sana kwa nini usipendekeze Iran ndio ishambulie Israel. Kati ya Iran na Israel nani hapendi mwenzake, in fact Iran ndio hutoa chants za death to Israel, death to Zionists. Israel ikitaka inachukua bodaboda wanaingia Iran na kuua mwanasayansi hasa wa nyuklia na kurudi zao kwao. Kwanini Iran isianzeView attachment 2287512View attachment 2287514
Natamani kuiona hii vita kati ya watu milioni 10 na milioni 80Swali hili linajirudia. Kwanini Israel iishambulie Iran. Kwanini Marekani iishambulie Iran? Ili iweje yani.
Kama vita ni ya lazima sana kwa nini usipendekeze Iran ndio ishambulie Israel. Kati ya Iran na Israel nani hapendi mwenzake, in fact Iran ndio hutoa chants za death to Israel, death to Zionists. Israel ikitaka inachukua bodaboda wanaingia Iran na kuua mwanasayansi hasa wa nyuklia na kurudi zao kwao. Kwanini Iran isianzeView attachment 2287512View attachment 2287514
Kwa Ukraine zimekuwa msaada mkubwa saana kwani Hadi sasa.Tuambie simesaidia nini mpaka sasa Ukraine??
Kweli haja advance nukuumbue sasa hivi hapa?Kwa Ukraine zimekuwa msaada mkubwa saana kwani Hadi sasa.
Kwa mara ya kwanza kwenye Hii vita Mrusia aja advance hata hatua moja kwenda mbele kwa masaa 34 tangu HIMARS ziianze kushambulia.
Kwa mara ya kwanza Russia ammunitions commanding center, zimeharibikiwa ikiwemo mifumo ya logistics.
Vituo vya kuhifadhi mafuta navyo havijabaki salama na kwa mara ya kwanza Ukraine amelaunch attack ndani ya Russia akitokea kwake Ukraine.
Mkuu Kama hayo sio mafanikio labda Mimi sijui maana ya mafanikio.
Asante.
Ni ukweli uliowazi kwa saa zaidi ya 32 Mrusia amebakia pale pale alipo akitafakari jinsi ya kuzidhibiti HIMARS.Kweli haja advance nukuumbue sasa hivi hapa?