Mizinga aina ya HIMARS (High Mobility Artillery Rockets System)

Mizinga aina ya HIMARS (High Mobility Artillery Rockets System)

Misaada yake azuie tuu
Hapa kwenye tech hawezi sababu hio nibiashara kama biashara nyengine
Nakama atatoka yeye nakuhakikishia wengine watawekeza
Nyie vijana mpaka leo hii 2022 munashabikia vyakupewa kweli!!?
Poleni sanaaa
Us kama anataka OP iishe nakama mnanuona mwema sana aache kupeleka silaha nakushinikiza maongezi kwapande zote mbili nakama hawezi aingie akaisaidie UKRAINE
US sio mwema kama mnavyomuona amakuaminishwa nimshenzi fulani tu hv UMBWA yule
Tunaouwezo wa kutokutegemea vya kupewa? kama upo kuanzia sasa tujitegemee kwa kila kitu na só vya kupewa. Kinyume chake bado sana kufikia huko lazima hili haliwezi kuepukika kwa miaka kibao mbele.



Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Kama umekiri hukujua juu kitu kidogo kilicho wazi kwenye simu tu. Na umekuwa Muungwana kukubali katika mahakama hii .
Nami kwa uungwana na Fonga NYUNDO . Kuwa hujui zaidi juu ya Satellite za kijeshi za Russia.
Kesi crossed. PERIOD.
Hii iwe inanukuliwa kila unapoleta hoja. Kuwa HUKUJUA
Unaweza enda stationary ukaprint na kufanya binding hiyo comment ili utundike chumbani kwako. Yani kwako mimi kutojua kitu unaona ni big deal, nani kakupa mamlaka ya kuniheshimisha hivyo kwamba ni lazima nijue kila kitu. Naona shangwe sana hapo ulipo
 
Kwa sasa ninaamini 100% kuwa Marekani au Israel zikiingia vitani na Russia S-400 hazitaona matumizi, si ajabu hazitadondosha ndege hata moja.

Utaratibu ni uleule, kama HIMARS zenye range ya 80km na speed ya 2.5 Mach na sio stealth zinashindwa kuzuiliwa. Vipi ikiletwa anti radar missiles yenye range ya 200km na RCS ndogo zaidi na inakaa ndani ya F-35. Wakati S-300 inaweza detect S-35 ikiwa around 27km away, F-35 inaweza fyatua missile 200km away.Our famous rule is first to see, first to kill
Hivi S-400 imetengenezwa ku engage target za namna gani mbona kama unachanganya madesa! Au kuna namna S-400 inaweza kuwa programed kushambulia ground targets?
 
Mkuu kwanza tunaomba source/link ya kulipuliwa kwa hizo Patriots.
Unasema Urusi maeneo mengi ya mipaka hayana air defenses je Una uhakika gani Kama maeneo mpakani ya Saudia pia yana hizo air defenses?!

Saudi mbona mara nyingi amekua akitungua hizo drones pamoja na Makombora
Saudi forces shoot down Houthi drone aimed at Khamis Mushayt


Kumbuka kwenye Vita ya Armenia na Azerbaijan S300 mnazozisifia zilivyolipuliwa na drones za Israel na Uturuki.
Kule Syria Israel kashalipua hizo Pantsir air defenses. Uturuki pia kashazilipua hizo Pantsir mnazozisifia kila siku humu.

Wakati Iran iliposhambulia bases kule Iraq,USA hawakua na air defenses kwenye zile bases ndio maana baada ya mashambulizi Pentagon ikapeleka Patriots Iraq. U.S. sending missile defense to Iraq after attack from Iran, which now has a new weapon

Hahaha Mkuu hizo taarifa unazitoa wapi wakati all tomahawk cruise missile hit their target,zililipua kiwanda cha kemikali na kuharibu miundombinu ya air ports za Syria

Akikuonesha wapi Houthi wakipiga battery ya Patriot nipigwe ban ya mwezi mzima.

Their justifications are baseless. Unajua humu walikuwa wanaona shangwe Saudi Arabia kushindwa kuzuia lile shambulio la mwanzo la Houthi kwenye fuel infrastructure. Niliwaambia Saudi Arabia haikuwa na threat na drones ndogo, ilikuwa na threat ya ndegevita na cruise missiles. Patriot wala THAAD hazipo kwa ajili ya drones ndogo hizi ambazo hata wewe. unaweka begani unabeba. Ulitokea uzi humu tukabishana sana kina Bwana Utam wakadai Saudi Arabia kauziwa machumachuma.

It was last year, leo Russia na air defence systems zake anapigwa na makombora ambayo hata sio sophiscated. Ukitaka kulaumu silaha ujue kwanza specifications zake. THAAD, Patriot, S-300 wala S-400 usidhani hata siku moja zitakuja zizuie vidrone vidogo na HIMARS, hazikutengenezwa kwa ajili hiyo. Ni pale ambapo Saudi Arabia walijua Houthi wanaleta hatari wakaamua kununua anti drone systems, hawapiti mwezi hawajadondosha vidrone uchwara vya waasi. Israel na bajeti yake very limited sio wajinga kuunda David's Sling, Iron Dome na Arrow 3. Kwanini wasiwe na system moja tu? Ni kwa sababu kila moja ina specifications zake. Huwezi tumia IST kubeba mchanga
 
Hivi S-400 imetengenezwa ku engage target za namna gani mbona kama unachanganya madesa! Au kuna namna S-400 inaweza kuwa programed kushambulia ground targets?
S-400 ni mfumo mzuri sana ila haujilindi. Sio kazi yake kuzuia HIMARS, sasa kama Pantsir, Tunguska, Sosna na TOR havizuii roketi tu hapo S-400 itaponaje dhidi ya silaha kama anti radiation missile yenye range ya 200km. Silaha kubwa hulindwa dhidi ya silaha ndogo ili nayo ilinde silaha ndogo dhidi ya kubwa. Sijui ni training, logistics au kitu gani wameteleza. Ngoja wajipange kwanza wakirudi tujue wakoje, yawezekana specifications walizotoa kina Almaz Antey sio sahihi
 
Mkuu kwanza tunaomba source/link ya kulipuliwa kwa hizo Patriots.
Unasema Urusi maeneo mengi ya mipaka hayana air defenses je Una uhakika gani Kama maeneo mpakani ya Saudia pia yana hizo air defenses?!

Saudi mbona mara nyingi amekua akitungua hizo drones pamoja na Makombora
Saudi forces shoot down Houthi drone aimed at Khamis Mushayt


Kumbuka kwenye Vita ya Armenia na Azerbaijan S300 mnazozisifia zilivyolipuliwa na drones za Israel na Uturuki.
Kule Syria Israel kashalipua hizo Pantsir air defenses. Uturuki pia kashazilipua hizo Pantsir mnazozisifia kila siku humu.

Wakati Iran iliposhambulia bases kule Iraq,USA hawakua na air defenses kwenye zile bases ndio maana baada ya mashambulizi Pentagon ikapeleka Patriots Iraq. U.S. sending missile defense to Iraq after attack from Iran, which now has a new weapon

Hahaha Mkuu hizo taarifa unazitoa wapi wakati all tomahawk cruise missile hit their target,zililipua kiwanda cha kemikali na kuharibu miundombinu ya air ports za Syria

S 300 ni mifumo ya zamani kweli kweli mpaka nato members wanazo na hapo Iraq patriot zilikuwepo USA kuona aibu ya kukosa soko ndo akaamua kupoteza eti hakukuwa na chochote tukija Syria tomahawk zilichemka maana Syria ilitungua 70% ya makombora
 
Mataifa yaliyojipanga kununua HIMARS
1. Poland ametoa order ya HIMARS 500
2. Qatar
3. Netherlands
4. Philippines
5. Canada
6. Australia
7. Hungary
8. Taiwan
9. Sweden

Haya madude inaonesha sio mchezo
... duh; usituambie vita vya Ukraine ni maonesho ya kimataifa ya biashara ya vifaa vya kijeshi!
 
Haya basi na sisi tutajaribu kukujibu kwa njia mbadala na sio ya kutaka kuelezea mbinu za matumizi ya hizi HIMARS zinavyotumika na Ukrain wakati ninaishi Chekereni...ili ukiyaangalia au ukiona picha uweze kufikiri kidogo zinafanyaje kazi katika matumizi yake.

Kwanza HIMARS ni rocket propulsion (kombora) sio mizinga (projectile)
Mizinga (projectile) ni kama vile umechukua jiwe na kulirusha ili ulenge shabaha ya kitu kilichosimama(stationary target) au kumlia timing ndege anayeruka(moving target)
Mizinga inatumia kanuni za mwendo(kinematics) na nguvu za mvutano(gravity) ya uzito wa shells (......) na kila zinavyoruka zinakuwa na nguvu ya uzito wa kuzirudisha chini hivyo kutokuwa na masafa marefu zaidi kuliko rocket(kombora)
Mizinga inakuwa ina tawaliwa na vitu vitatu, Nyuzi(angle) ya mwelekeo, Kima(height) na Masafa(Range), ni vigumu sana kwa mizinga kuweza kupiga shabaha( target)kwa ukamilifu, mara nyingi ni wanajaribu kukisia mzingo wa mlipuko inatakotua utatawanyika kwa ukubwa gani wa eneo na kusababsha athari...
View attachment 2284034

Kwa kombora(rocket/missile), hizi zinatumia kanuni za rocket propulsion za kanuni ya tatu ya Newton.."For every action there is an equal and opposite reaction", principle of conservation of momentum.
kwa kweli acha sayansi ieendelee kufundishwa kwa kiingereza, nisijejaribu kuchangaya madawa kwenye tafsiri....
kwa maelezo ya rockect propulsion, yaani shinikizo la kutoka kwa gesi/mafuta ndani yake linaporushwa , linasababisha nguvu(Thrust)ya kulisukuma kombora mbele na hivyo kuweza kwenda kwa masafa marefu na na pia kuweza kuliendesha na kuweza kupiga shabaha(target) kwa ukamilifu na umahiri mkubwa, mara nyingi shabaha(target)inakuwa ni mambo ya map coordinates
mfano N 29° 57.545' E 74°(Ikulu ya Mbagala),hizi zinakuwa zimenakiliwa kwenye mfumo wake wa kielectronic na kombora kutokana na ujazo waje rocket fuel(ambayo ina weza kuwa (solid, liquid au gas), linauwezo wa kufika mpaka chumbani kwa likitumwa...
Kama unavyoona, hiko kidishi hapo mbele ndio kinafata maelekezo ya satellite kuinyosha njia mpaka nyumbani kwako...

View attachment 2284035
Duhh [emoji28][emoji28][emoji119]
 
Wacha weeee!! Nawapenda sana Pro NATO unapopata ka issue MNAVYOPIGA VIGELEGELE NA KUFUNGA KANGA KIUNONI NA KUNYANYUA VIDOLE JUU " Eeeeeh, Mtatujua sisi ni nani, kitu HIMARS".

Yaani Pro NATO mnakwenda na tune ya USA, hamjui kuwa USA ni baba la uongo na Propaganda duniani. Maadam HIMARS ni product ya Marekani ni lazima ikwezwe, Itangazwe kwa nguvu zote na hata IKITOKEA IMEHARIBIWA ikanushwe kwa nguvu zote.

Sasa mdigo wewe na wenzako mnabinua viuno kila kinachoelezwa na Shoga Mkuu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom