Mizinga aina ya HIMARS (High Mobility Artillery Rockets System)

Kwa Ukraine zimekuwa msaada mkubwa saana kwani Hadi sasa.

Kwa mara ya kwanza kwenye Hii vita Mrusia aja advance hata hatua moja kwenda mbele kwa masaa 34 tangu HIMARS ziianze kushambulia.

Kwa mara ya kwanza Russia ammunitions commanding center, zimeharibikiwa ikiwemo mifumo ya logistics.

Vituo vya kuhifadhi mafuta navyo havijabaki salama na kwa mara ya kwanza Ukraine amelaunch attack ndani ya Russia akitokea kwake Ukraine.

Mkuu Kama hayo sio mafanikio labda Mimi sijui maana ya mafanikio.

Asante.
Pia Russia anakusanya reinforcements, troops walichoka inabidi uwaache wapumzike kidogo ufanye analysis wapi umekosea kisha utafakari mbinu mpya. Ni bora uhold ulichonacho kuliko kupoteza ukienda kwa uchovu
 
Kwa sasa ninaamini 100% kuwa Marekani au Israel zikiingia vitani na Russia S-400 hazitaona matumizi, si ajabu hazitadondosha ndege hata moja.

Utaratibu ni uleule, kama HIMARS zenye range ya 80km na speed ya 2.5 Mach na sio stealth zinashindwa kuzuiliwa. Vipi ikiletwa anti radar missiles yenye range ya 200km na RCS ndogo zaidi na inakaa ndani ya F-35. Wakati S-300 inaweza detect F-35 ikiwa around 27km away, F-35 inaweza fyatua missile 200km away. Our famous rule is first to see, first to kill
 
Pia Russia anakusanya reinforcements, troops walichoka inabidi uwaache wapumzike kidogo ufanye analysis wapi umekosea kisha utafakari mbinu mpya. Ni bora uhold ulichonacho kuliko kupoteza ukienda kwa uchovu
Ni kweli ila wamefanya counter attack za HIMARS ambazo Hadi Sasa Russia Hana straight immune ya harakaHaraka ya kuzima HIMARS attacks.

Inawezekana pia anatafakari kuja na mwarobaini wa HIMARS.

Vita Ina mengi.
 
Kwa sasa ninaamini 100% kuwa Marekani au Israel zikiingia vitani na Russia S-400 hazitaona matumizi, si ajabu hazitadondosha ndege hata moja.

Utaratibu ni uleule, kama HIMARS zenye range ya 80km na speed ya 2.5 Mach na sio stealth zinashindwa kuzuiliwa. Vipi ikiletwa anti radar missiles yenye range ya 200km na RCS ndogo zaidi na inakaa ndani ya F-35. Wakati S-300 inaweza detect S-35 ikiwa around 27km away, F-35 inaweza fyatua missile 200km away.Our famous rule is first to see, first to kill
Ninachohisi labda Russia kainvest zaidi kwenye nukes na sio urban to urban combat za close quarter battle Kama USA na other allies ndio maana anapata shida saana kufanya operation ya kawaida Kama ya Ukraine kuwa full scale war.

Imagine kama S-400 inachechemea kudetect normal attacks Kama za HIMARS, je zikija zile advance zaidi itakuwaje? It will be a potential disaster.

Let's wait.
 
Kwa sasa ninaamini 100% kuwa Marekani au Israel zikiingia vitani na Russia S-400 hazitaona matumizi, si ajabu hazitadondosha ndege hata moja.

Utaratibu ni uleule, kama HIMARS zenye range ya 80km na speed ya 2.5 Mach na sio stealth zinashindwa kuzuiliwa. Vipi ikiletwa anti radar missiles yenye range ya 200km na RCS ndogo zaidi na inakaa ndani ya F-35. Wakati S-300 inaweza detect S-35 ikiwa around 27km away, F-35 inaweza fyatua missile 200km away.Our famous rule is first to see, first to kill
Mbona hushangai kamikaze drones za wa houth wa yemen zivyo iaibisha tech ya West hapo bado sijaitaja Iran ambayo si marekani wala Israel zinaiweza Iran kwenye vita HIMARS zimetunguliwa nyingi tangu majuzi zikihangaika kulivunja daraja la crimea ili Urusi isipitishe silaha kwenda kherson na tangu juzi Ukraine imepewa kichapo cha haja kila ikijaribu ku counter offensive
 
Ni ukweli uliowazi kwa saa zaidi ya 32 Mrusia amebakia pale pale alipo akitafakari jinsi ya kuzidhibiti HIMARS.

Vinginevyo utataka kuleta siasa na ubabaishaji.
Mpaka muda huu wanajeshi wa urusi wamekaribia kuingia bakhmut muda pia vikosi vya Urusi vimeanza kuunusa mji muhimu wa slaviyanky na kramatosky kiufupi na ukichunguza tangu yaje makombora ya HIMARS yamewapa morale wanajeshi wa urusi
 
Sina Utaalamu wa zana za Kivita ila nimevutiwa kuijua zaidi mizinga hiyo ya Kivita natumai humu kuna wajuzi/wajuvi wa mambo hayo.

HIMARS tangu zimeingia Ukraine kutoka Marekani zimebadilisha kila kitu wao wanaziita game changer, na Marekani kaziingiza nne tu pale Ukraine ila Warusi wanaziwinda kwa kila njia kupitia Drones zao, Su, Mig zao...nk

Sio Ajabu sana kushangaa Jana Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema imeziharibu 2 ila Waziri wa Ukraine alikuja kukanusha.

Rais wa Marekani Biden aliwapa Ukraine Aina ya Short/minimum range akiogopa kuwapa za Long range kwa kuhofia jamaa wanaweza kugusa pale Moscow.

Ukiangalia kwa Sasa Maghala mengi ya Silaha za Warusi ni moto kila kona, HIMARs zinafanya kazi Ukraine wanasema wangepewa hizi mapema wangepunguza maafa na pia vifo.

Baada ya Mizinga hii kutua Ukraine, Russia wameanza mafunzo ya kulilinda Daraja linalounganisha Crimea wakihofia jamaa wanaweza kuligusa, nimeona Warusi wamepeleka magari pale kazi yake yanatoa Moshi mwingi na kulificha daraja yanaitwa sijui Smoke nini.. Sio mtaalamu sana.

Mtaalamu/wataalamu wa haya mambo waje watupe maarifa zaidi.
Na taarifa iliyotolewa leo na Waziri wa Ulinzi wa Ukraine, inasema Wanajeshi wa Ukraine wamefuzu vyema kuzitumia, kwahiyo mzigo unaongezwa.
 
Kwa Ukraine zimekuwa msaada mkubwa saana kwani Hadi sasa.

Kwa mara ya kwanza kwenye Hii vita Mrusia aja advance hata hatua moja kwenda mbele kwa masaa 34 tangu HIMARS ziianze kushambulia.

Kwa mara ya kwanza Russia ammunitions commanding center, zimeharibikiwa ikiwemo mifumo ya logistics.

Vituo vya kuhifadhi mafuta navyo havijabaki salama na kwa mara ya kwanza Ukraine amelaunch attack ndani ya Russia akitokea kwake Ukraine.

Mkuu Kama hayo sio mafanikio labda Mimi sijui maana ya mafanikio.

Asante.

Aisee naona umetirika mpaka tone la mwisho. Sasa twende taratibu unasema Russia haja advance hata hatua moja hivi unafuatilia kwa makini hii operation? Jana tu nimechungulia news nakutana na habari Ukraine wamepoteza Bogorodichnoye settlement north of Slavyansk. Jion hii nimekutana na habari Russia anashikilia vijiji vitatu huko Donetsk. Hizo taarifa zako unazitoa wapi ambao sisi wengine hatuzioni? Unaweza kutupa prove ya taarifa zako..??

Hizo commanding center ambazo unadai zimelipuliwa unaweza zitaja wapi na wapi?? Pamoja na hiyo mifumo ya logistics ukatupa na source??

Taarifa ya kulipua kituo cha mafuta nayo moja ti ambayo Ukraine walikanusha kama unataarifa zingine zi vizuri ukafanya kushare coke na sisi tuzisome.
 
Jamani taarifa tunazopata kwenye media ndo hizi wenzetu hamzioni ??
IMG_20220712_003855_472.JPG
 
Kwa sasa ninaamini 100% kuwa Marekani au Israel zikiingia vitani na Russia S-400 hazitaona matumizi, si ajabu hazitadondosha ndege hata moja.

Utaratibu ni uleule, kama HIMARS zenye range ya 80km na speed ya 2.5 Mach na sio stealth zinashindwa kuzuiliwa. Vipi ikiletwa anti radar missiles yenye range ya 200km na RCS ndogo zaidi na inakaa ndani ya F-35. Wakati S-300 inaweza detect S-35 ikiwa around 27km away, F-35 inaweza fyatua missile 200km away.Our famous rule is first to see, first to kill

Katika watu wenye mahaba kupitiliza na US wewe ni No1. JF ila ukweli US ni waoga na dhaifu wanaonea dagaa.

Mzee unateseka sana na Russia ila ukweli US bado yupo nyuma sana ya Russia kwa tech. Sasa kinachofanya mnaogopa kupigana na Mrussi mpaka sasa ni nini? Na nitajie airdefense ya US ambayo ipo juu ya S-400. Unazungumzia hizo F-35 ambazo zinaanguka huko California mzee umeshashtua kimoja nini akili imeanza kuchoka?

Mpak sasa sijaona silaha aliyonayo US ya kumsumbua Russia. Na Putin kashawapa Green light anaetaka kuingia aingie, HIMARS ya kumsumbua Mrussi kuna watu mnachekesha sana humu ndani. Naskia wewe ndo wanakusifia mchambuzi makini humi JF[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316][emoji1316]
 
Aisee naona umetirika mpaka tone la mwisho. Sasa twende taratibu unasema Russia haja advance hata hatua moja hivi unafuatilia kwa makini hii operation? Jana tu nimechungulia news nakutana na habari Ukraine wamepoteza Bogorodichnoye settlement north of Slavyansk. Jion hii nimekutana na habari Russia anashikilia vijiji vitatu huko Donetsk. Hizo taarifa zako unazitoa wapi ambao sisi wengine hatuzioni? Unaweza kutupa prove ya taarifa zako..??

Hizo commanding center ambazo unadai zimelipuliwa unaweza zitaja wapi na wapi?? Pamoja na hiyo mifumo ya logistics ukatupa na source??

Taarifa ya kulipua kituo cha mafuta nayo moja ti ambayo Ukraine walikanusha kama unataarifa zingine zi vizuri ukafanya kushare coke na sisi tuzisome.
Ubaya nyie mna mapenzi mnataka tubishane tu... Lakini ukweli unabaki pale pale kwamba HIMARS imekuwa Kama game changer kwenye Hii vita kwa wiki Hii nzima.
 
Mbona hushangai kamikaze drones za wa houth wa yemen zivyo iaibisha tech ya West hapo bado sijaitaja Iran ambayo si marekani wala Israel zinaiweza Iran kwenye vita HIMARS zimetunguliwa nyingi tangu majuzi zikihangaika kulivunja daraja la crimea ili Urusi isipitishe silaha kwenda kherson na tangu juzi Ukraine imepewa kichapo cha haja kila ikijaribu ku counter offensive

Huyo jamaa wa ajabu sana sijui source zake anaokota wapi, anaokotaga mazoba humu ndani me namwonaga mweupe sana hamna anachojua kabisa. Jana nafatilia Ukraine wanalalamika hizo HIMARS zinawa cost pesa nyingi na hakuna wanacho achieve. Anakuja mpiga nyeto anakwambia taarifa za uongo kana kwamba sisi hatufatilii kinachoendelea[emoji23][emoji23][emoji1316][emoji1316]
 
Katika watu wenye mahaba kupitiliza na US wewe ni No1. JF ila ukweli US ni waoga na dhaifu wanaonea dagaa.

Mzee unateseka sana na Russia ila ukweli US bado yupo nyuma sana ya Russia kwa tech. Sasa kinachofanya mnaogopa kupigana na Mrussi mpaka sasa ni nini? Na nitajie airdefense ya US ambayo ipo juu ya S-400. Unazungumzia hizo F-35 ambazo zinaanguka huko California mzee umeshashtua kimoja nini akili imeanza kuchoka?

Mpak sasa sijaona silaha aliyonayo US ya kumsumbua Russia. Na Putin kashawapa Green light anaetaka kuingia aingie, HIMARS ya kumsumbua Mrussi kuna watu mnachekesha sana humu ndani. Naskia wewe ndo wanakusifia mchambuzi makini humi JF[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316][emoji1316]
Bro! Kwa brain drain ya kununua best brain in the world USA hawezi kuwa sawa na Russia yenye watu wenyewe wanaofanya military innovation.

USA ana kila sampuli ya watu Duniani wanaofanya kazi ya kuleta newl innovated ideas kwenye every angle.

Imagine kama Albert Einstein alikataliwa sehemu nyingi lakini USA walikuwa tayari kununua his idea iliyopelekea kutengeneza bimu la kwanza la nyuklia Duniani lililomaliza Vita vya Dunia baada ya kutandikwa kule Japan Dunia ikashika mdomo.

USA can't be underestimated linappkuja suala la Vita vya anga au ardhini.

USA technology yao ni beyond human capabilities. Mkubwa ni mkubwa tu .

USA hataki madhara yeyote kwake ndio maana once akiingia kwenye vita IST potential disaster.
 
Ubaya nyie mna mapenzi mnataka tubishane tu... Lakini ukweli unabaki pale pale kwamba HIMARS imekuwa Kama game changer kwenye Hii vita kwa wiki Hii nzima.

Acha propaganda tunajadiliana kwa hoja na source zinazoeleweka ndomana zimezipinga taarifa zako sababu ni za uongo. Sasa kama wewe unaona taarifa zako ni sahihi ni busara ukatupa evidence lasivyo hujui chochote kuhusiana na hii operation.

Kuepusha aibu kama hzi ni bora ukawa mpenzi msomaji na sio mchangiaji manake ukizingua unakutana na SPANA.
 
Back
Top Bottom