Acha kuotaKherson soon mikononi mwa Ukraine tena
Kama inawezekana kwamiaka kibao mbele inashindikanaje sasa!!!??Tunaouwezo wa kutokutegemea vya kupewa? kama upo kuanzia sasa tujitegemee kwa kila kitu na só vya kupewa. Kinyume chake bado sana kufikia huko lazima hili haliwezi kuepukika kwa miaka kibao mbele.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Maneno yakujifarijiUnajua wanadamu hatupendi kushukuru kabisa kwa muumba wetu, nadhani ni jambo jema kushukuru Kwa Muumba kuwa Amerika, kwa kipindi hiki Trump sio raisi na kama angekuwa huenda tusinge login tena humu..... He heeee au kulog offfz... Yule mwenda kuzimu alishasema kwamba Marekani wana silaha hatari sana ambazo hamna taifa lolote inazo, na in short alikuwa kama anatafuta wa kumwonyeshea mfano! Hembu fikiri Trump angekuwa raisi kipindi hichi, Ndio, Ni kweli mrusi angepigwa na kitu Kizito. Tatizo linakuja huyu murussi ana ideology ya BORA TUKOSE WOTE hii ndio hatari aliyonayo na wala sio Makumbora wala mifumo yake ya ulinzi. Ugopa sana mutu hana cha kupoteza alafu wewe una cha kupoteza, ni kama ule mfano wa kupigana na nguruwe.
Tusali sana Bideni asolve hili jambo angali yu hai maana endapo Trump atagombea kwa mara nyingine afu sikute ishu mezani, yatakuwa mengine.
Maneno yakujifariji
Angeanza na IRAN baada ya kutungua kambi zao kule IRAQ
RUSSIA TAIFA TEULE
Sent using Jamii Forums mobile appn
Russia kwa nini aweke option ya nuclear mezani, ambayo kiuhalisia hakuna mshindi, sasa vita itakuwa na raha gani kama mshindi hatutapata kumjua wala kumwongelea,
Kapicha itapendeza haswa.Aljazeera hapa wanasema warusi wanaendelea kuharibu hizo silaha zenu
Mkuu ndo kipimo cha Taifa kuna mahala TULIKOSEAUzi umeharibika kwa kuingiza team na ndio shida yetu vijana wa Tanzania badala kujadili hoja watu wanaanza kuleta mbona Urusi hivi marekani vile.
Uzi ulitaka kujua nini kipo behind HIMARS na kwanini zimekuwa game changer. Kuna comments chache sana atleast zimetoa insights nzuri za kuanzia.