Mizinga aina ya HIMARS (High Mobility Artillery Rockets System)

Mizinga aina ya HIMARS (High Mobility Artillery Rockets System)

Na ukubwa wote huo likisha shambulia linatoka nduki kama Filbert Bai [emoji1787][emoji1787] HIMARS mnyama..
630_360_1654111321-363.jpg
HIMAS-MRLS.jpg
maxresdefault-6-1.jpg
American-227mm-M270-MLRS-and-M142-HIMARS-strike-in-Donetsk-region.jpg
756541060352125.jpg
 
Mkuu hujaelewa nini? Umeiona kwanza hiyo HIMARS? inashambulia sehemu yeyote ili mradi iwe within range na ikisha shambulia inasepa ku avoid counter battery za urusi.
... hilo limnyama limeyapatia kweli kweli yale machuma chuma ya kirusi! Halafu Kwa Mpalange & Co; kucha kutwa kujaribu kudiss military capability ya US in favor of Russia! Unajiuliza hawa wako sawasawa kweli?
 
Ikipiga fasteeeer inatembea, na very effectively.
 
Hapa umechangia nini mzee? Unajua hii comment yako tukiihamishia uzi wa Amber Ruty itapata mashiko uko. Haina msaada wowote kwenye uzi huu na haijaongeza value. Unaweza pinga kwa facts, kujazia au kurekebisha.

Ulichofanya hata darasa la pili anaweza
Mkuu achana na wapuuzi hao wanawaza mipasho
 
Mkuu hujaelewa nini? Umeiona kwanza hiyo HIMARS? inashambulia sehemu yeyote ili mradi iwe within range na ikisha shambulia inasepa ku avoid counter battery za urusi.
Inasepa automatically?
Je,kuna mtu analiendesha au linaniendesha lenywe?
 
... hilo limnyama limeyapatia kweli kweli yale machuma chuma ya kirusi! Halafu Kwa Mpalange & Co; kucha kutwa kujaribu kudiss military capability ya US in favor of Russia! Unajiuliza hawa wako sawasawa kweli?
Wanajitoa ufahamu tu.
Himars kwa sehemu kubwa imezuia advances za jeshi lao, kwa sasa wako on operational pause
 
Kherson kazima mtu akimbie
Kherson Russia anahenya, mwezi wa nane Ukraine wamesema watakuwa wamefanikiwa kuirejesha Kherson.

Kumbuka US kapeleka silaha kadhaa tu hapo Ukraine, hasa HIMARS 8, toka zifike majeshi ya Russia yameufyata kusonga mbele.

HIMARS zikiwa 30 itakuwa ni balaa lingine.
 
Kuna lile daraja naona limetekenywa ili waondoke bila chochote, kiufupi waondoke mikono tupu na ndo lenyewe tu
 
Unajua wanadamu hatupendi kushukuru kabisa kwa muumba wetu, nadhani ni jambo jema kushukuru Kwa Muumba kuwa Amerika, kwa kipindi hiki Trump sio raisi na kama angekuwa huenda tusinge login tena humu..... He heeee au kulog offfz... Yule mwenda kuzimu alishasema kwamba Marekani wana silaha hatari sana ambazo hamna taifa lolote inazo, na in short alikuwa kama anatafuta wa kumwonyeshea mfano! Hembu fikiri Trump angekuwa raisi kipindi hichi, Ndio, Ni kweli mrusi angepigwa na kitu Kizito. Tatizo linakuja huyu murussi ana ideology ya BORA TUKOSE WOTE hii ndio hatari aliyonayo na wala sio Makumbora wala mifumo yake ya ulinzi. Ugopa sana mutu hana cha kupoteza alafu wewe una cha kupoteza, ni kama ule mfano wa kupigana na nguruwe.
Tusali sana Bideni asolve hili jambo angali yu hai maana endapo Trump atagombea kwa mara nyingine afu sikute ishu mezani, yatakuwa mengine.
 
Ushuzi mtupu! Eti game changer 🚮 imewasaidia Ukraine kukomboa miji mingapi, imeua askari wangapi wa urusi? Ndo kwanza EU wameanza kutepeta wanafuta vikwazo kidogo kidogo
 
Back
Top Bottom