Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Mjiongeze download VPN, psiphon endelea na maisha kama kawaida
 
Magufuli ni hopeless sinner!Mara zote duniani kufunga mitandao na internet,kutumia jeshi na intelligence katika kuendesha uchaguzi ndiyo imekuwa silaha ya mwisho ya madikteta wote waliokuwa wanakaribia kuanguka madarakani... I never thought CCM inaweza kuja kuanguka kwa style hii na kwa mbinu za kijinga hivi.
 
Yani biashara zangu za mitandaoni nauza viatu na nguo ili mteja apende nguo lzm nitumie WhatsApp kumtumia picha akiipe da tunafanya biashara

Sasa leo nimechukua mzigo wa kutosha aisee kwani picha zinaenda sasa ? Yani biashara zangu zinakwama kisa siasa?

Kwahio tutalala njaa kisa uchaguzi
Haya wabarikiwe
 
Back
Top Bottom