Kwani kuna sehemu wamesema mti mneneMti wenyewe mbona hata siyo mnene !
Kwani kuna sehemu wamesema mti mneneMti wenyewe mbona hata siyo mnene !
Ndoa Chali, Utakabidhije Ndoa Yako MtiUkikatwa inakuaje na ndoa ndio ina miezi 8?
DuuhMenejimenti ya Hifadhi ya Taifa ya Nyerere katika mikoa ya Morogoro na Pwani imelazimika kuuhifadhi mti wa asili jamii ya Marula uliokuwa ukitumiwa na watu mbalimbali wa zamani kufanya matambiko ya asili kuwa kama sehemu ya kivutio ndani ya hifadhi hiyo baada ya kushindwa kukatika kwa zana na mitambo mbalimbali ya kisasa ili upishe upanuzi na matengenezo ya barabara kuu inayokatiza hifadhini hapo.
KakateImani potofu tu hiyo inakatika buana
Viumbe vinavyoonekana na visivyoonekanaZipo nguvu za asili,na zinafanya kazi,that mean we are not alone,human is one type,and there are other types.
Bomu litadundaHapo kwenye tundu watupie bomu waone kama hawakukuta imekuwa karatasi
Unaona tundu lakini ukibeba kitu kwa ajili ya kukiweka humo utakuta pamejiziba, tulishindwa.
Bomu litadunda
Mi chijui..😅Kwamba huamini akina babu ni noma?
Hayo mauza uza yapo ni lzm uongee na wazee wakupe ruhusa.Maeneo mengine ni kambi za kutunzia misukule, matambiko,madhabau za kichawi,milango ya kuzimu,nk.niliwahi sikia miongoni mwa sababu zilizokuwa zinakwamisha ujenzi wa barabara ya kusini tokea dsm ni haya mambo, wakandarasi walipata nayo tabu sana na kingine kulikuwa na mradi wa kuongeza kina cha bandari ya lindi na kwenyewe mauzauza yakakwamisha
Sasa mbona unaleta ubishi😀Mi chijui..😅
Wajanja sana wanapromoti utalii kwa mambo ya uongoHii habari naona ni sehemu ya tangazo hizi mambo sidhani Kama zipo..😂
Aisee!Miti ina mambo mengi bana kilimanjaro kule wakati wanajenga barabara ya lami Rombo miti ilikua inatoa damu ikikatwa,
Nichamee tuu..😅Sasa mbona unaleta ubishi😀
Sehemu gan?Ukiona mtu haamini haya mambo bado mtoto mdogo. Kariakoo maeneo ya kamata, shirika la reli liliamishia kituo cha train kwamuda, eneo lile palikuwa na makaburi sasachaajabu makaburi yote wameyafukua lakn lipo moja lilishindikana had leo lipo anaebisha aende akaangalie. Hilo ni kaburi la chifu Kibasila.
Nimependa ulivyopinga mwanzoni kabisa, nikawa nasubiri uthibitisho wa kubishia hicho.Weee usiniambiye