Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Nani akutakee na ufia dini wako tafuta wafia dini wenzakoo nakuapia hutopata wakukuambia mambo

Subiri uonee ondoa hii thread yakoo.
 
kwanza unatakiwa uweke dau lako la sadaka kwa yatima, likiwa kubwa kuliko wengine, nakupa anuani unakuja live.

Wacha ushamba wa picha, picha siku hizi inafanya vyovyote. Vitu live bila chenga.

Uking'ang'ania sana nakutumia picha nipo soko la mboga na matunda Dubai.
OMG. Nimechelewa kuona huu Uzi tunatoaje hiyo sadaka SASA....Nataka nikuchukue Umjue Yesu Kristo . Yehova Shan. Bwana wa majeshi.
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Kwani wewe ni mwanamke?
 
astaghfirullah , yaani Ushimen niliyekua nakuona kuwa ni threat kumbe unasemwa kuwa ni mkate wa kumimina?
Wapo wengi humu, yupo huyo anayejiita Ushimen , yupo cocastic, yupo anayejiita Lusungo.

Kwani wanajificha, na wengine wapo wengi tu. Na wewe ukiendelea kunifatafata najuwa ni walewale tu .

Mwanamme hawezi kujipendekeza pendekeza. kujipendekeza ni sifa za kike na mashoga. Tunaita "nani zaidi".

Kwani wewe ni mwanamke?
Wa haja tena:

1688088345845.png
 
Hii tumuachie shehe kipoozeo wengine dabo diff hatuwezi
Shee kipozeo nikija bongo huwa nanunuwa mirungi anakuja kula kwangu, anakodoa mimacho tu na denda linamtoka, anatamani ninyanyuke nilipokaa, mara atajidai, hakuna chai rangi, mara hakuna kahawa. Kwa tashtiti nawaambia watoto wamletee.
 
Wapo wengi humu, yupo huyo anayejiita Ushimen , yupo cocastic, yupo anayejiita Lusungo.

Kwani wanajificha, na wengine wapo wengi tu. Na wewe ukiendelea kunifatafata najuwa ni walewale tu .

Mwanamme hawezi kujipendekeza pendekeza. kujipendekeza ni sifa za kike na mashoga. Tunaita "nani zaidi".

Attachments

  • Screenshot_20230629_140416_Instagram.jpg
    Screenshot_20230629_140416_Instagram.jpg
    221.7 KB · Views: 22
  • IMG_7387.jpg
    IMG_7387.jpg
    54.2 KB · Views: 20
  • IMG_7386.jpg
    IMG_7386.jpg
    39.7 KB · Views: 20
  • IMG_7385.jpg
    IMG_7385.jpg
    66.6 KB · Views: 18
  • IMG_7381.jpg
    IMG_7381.jpg
    70.1 KB · Views: 19
  • IMG_7384.jpg
    IMG_7384.jpg
    76.8 KB · Views: 21
  • IMG_7383.jpg
    IMG_7383.jpg
    35.3 KB · Views: 17
  • IMG_7382.jpg
    IMG_7382.jpg
    32.1 KB · Views: 20
Bila shaka kuna waliofanikiwa kula tunda
Kuna wanaume humu? Mwanamme eti anatongoza nyuma ya keyboard? Unanchekesha.

Au mwanamke haswaa atongozwe nyuma ya keyboard?

Hapa tunawwache wabwabaje na kuhuroroja tu, mishoga mingi kweli humu, utaona siijibu. Wenyewe wanaingia humu kama wataokoteza.

Kwi kwi kwi teh teh teh. Wewe tazama posts tu, za mashoga utazijuwa tu, hawajififichi, Bora cocastic kishaamuwa kujitangaza.

Utayaona yanavyohangaika humu, mara hili mara lile, Na mimi nauchuna tu, siwashtui wala siwajibu kabisaa, nawacha waumie tu.

Wana hadhi gani ya kujibiwa na mii,
 
Wapo wengi humu, yupo huyo anayejiita Ushimen , yupo cocastic, yupo anayejiita Lusungo.

Kwani wanajificha, na wengine wapo wengi tu. Na wewe ukiendelea kunifatafata najuwa ni walewale tu .

Mwanamme hawezi kujipendekeza pendekeza. kujipendekeza ni sifa za kike na mashoga. Tunaita "nani zaidi".

Bibi umevurugwaaa wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom