Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Ndio nimeamini umepatwa na wazimu. Na sikukuu yote hii unaanzisha uzi wa kikahaba, unaharibu udhu wa watu!! Pole sana.
Kumbe huwa unakurupuka hata hutazami uzi umeanzishwa lini?

Dah, wewe hukuona kichwa cha habari na eid hii? Uliingia uzi huu kufanya nini?
 
Anaekuja humu bila kurusha ssadaka
Kumekucha.
Huyu Faiza huyu huwa Nampenda.
Naomba namba ya kituo nitoe Sadaka.
kwanza utowe dau laku humu, ushindane na wengine mpaka anaetowa sadaka kubwa ndiyo mengine yanafatia.

Baada ya hapo nakupa anuani ya kufika kwangu hapahapa., kinaga ubaga. Hakuna longolongo.

Haya unaanza na ngapi?
 
Anaekuja humu bila kurusha ssadaka

kwanza utowe dau laku humu, ushindane na wengine mpaka anaetowa sadaka kubwa ndiyo mengine yanafatia.

Baada ya hapo nakupa anuani ya kufika kwangu hapahapa., kinaga ubaga. Hakuna longolongo.

Haya unaanza na ngapi?
Jamani Mpenzi, Sadaka ni siri!!
💕
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.

Hivi kuna mtu mwenye utimamu kweli atakayekuja kukutongoza? Huko PM au kokote?
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Sasa mbona haukuni tag huu uzi wakati kumbe ulifungua uzi kitambo halafu mimi na Ushimen tunabaki tunapigana vikumbo kukutongoza kwenye Jukwaa la dini na siasa!!
 
Unanambia huyo siyo shoga? Au ndiyo shoga la kutafuta mume?
Mie ni shoga, ambaye nimeolewaa.

U hawara miaka 4, uchumba mwaka 1, na kuwa mke rasmi miaka 4, haya jumlisha hiyo miaka upate jumla yake.

Nna stara na nimesitirikaa mie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aiseeee sometimes unasoma uzi na comments zake unaishia kujisemea: THIS WORLD CAN ONLY BE CLEANSED WITH FIRE..
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongozaDijaWaHiija

Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Sijawahi kukurushia ndoano kweli. Mgalatia Mimi.? Tupe picha yako Kwanza tuone yaliyomo yamoo?
 
kwanza unatakiwa uweke dau lako la sadaka kwa yatima, likiwa kubwa kuliko wengine, nakupa anuani unakuja live.

Wacha ushamba wa picha, picha siku hizi inafanya vyovyote. Vitu live bila chenga.

Uking'ang'ania sana nakutumia picha nipo soko la mboga na matunda Dubai.
 
Aiseeee sometimes unasoma uzi na comments zake unaishia kujisemea: THIS WORLD CAN ONLY BE CLEANSED WITH FIRE..
Umeona eeh?

Halafu watu wa humu ndiyo wakushindana na Dubai World.

Humu ndani wote ni mawazo mfu ya kimasikini tupu.
 
Mie ni shoga, ambaye nimeolewaa.

U hawara miaka 4, uchumba mwaka 1, na kuwa mke rasmi miaka 4, haya jumlisha hiyo miaka upate jumla yake.

Nna stara na nimesitirikaa mie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umezaa watoto wangapi?
 
Back
Top Bottom