Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Bibi kwema? Naomba nialike karamu isiyo ya tumbo, kunywa na kusaza.

Kwa majaliwa ya Allah, umejaliwa visivyoisha hata uhai ujapotamatika.

Mimi ni jirani yako.

Shindana dau na wenzako juu huko, wacheni vituko.

Ataepanda dau kubwa ndiyo yeye huyo.

Halafu siku hizi situmii shillingi kabisa natumia Dirhams.

Haya anza kupanda dau.
 
Tazama wenzako wa mwisho hapo kabla ya huu utumbo wako Kimewakumba nini.
 
Shindana dau na wenzako juu huko, wacheni vituko.

Ataepanda dau kubwa ndiyo yeye huyo.

Halafu siku hizi situmii shillingi kabisa natumia Dirhams.

Haya anza kupanda dau.
Usinisahahu kwenye ufalme wako mhenga (Dirhams)
 
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]nipo kuangalia atakayeibuka kidedea.
Mpaka leo bado, wote wanaojidai kutongoza ni wanaume suruali. Ukiwaamboia namba hiyo ya kituo cha yatima tuma sadaka yako, bila bila.
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Umeamua kujiuza rasmi na waziwazi kabisa, jamani??? Haya mambo mbona ni siri, we unayaletaje hapa hadharani??
 
Umeamua kujiuza rasmi na waziwazi kabisa, jamani??? Haya mambo mbona ni siri, we unayaletaje hapa hadharani??
Siri ya nani? Kuna siri ya watu wawili? Kamuulize mama'ko alikupataje? Au bado unaamini alikwenda kukuchukuwa hospitali?

Kama ulikuwa huelewi alianza kwa kunyanyuliwa miguu na makalio. Kama unabisha kamuulize.
 
Ndio nimeamini umepatwa na wazimu. Na sikukuu yote hii unaanzisha uzi wa kikahaba, unaharibu udhu wa watu!! Pole sana.
 
Kabla hujaja kwangu nikupe namba urushe sadaka yako kwa watoto yatima, utarusha ngapi?

Hakuna chakula cha bure. Kula uliwe.
Sasa km nakuja kwako kula sikukuu, hiyo sadaka napata wapiii?
Sadaka siku ingne.
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Ustadhat kumbe mdangaji tu
Naona ulikuwa unatuita kiaina
 
Back
Top Bottom