Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Kuna wanaume humu? Mwanamme eti anatongoza nyuma ya keyboard? Unanchekesha.

Au mwanamke haswaa atongozwe nyuma ya keyboard?


Hapa tunawwache wabwabaje na kuhuroroja tu, mishoga mingi kweli humu, utaona siijibu. Wenyewe wanaingia humu kama wataokoteza.

Kwi kwi kwi teh teh teh. Wewe tazama posts tu, za mashoga utazijuwa tu, hawajififichi, Bora cocastic kishaamuwa kujitangaza.

Utayaona yanavyohangaika humu, mara hili mara lile, Na mimi nauchuna tu, siwashtui wala siwajibu kabisaa, nawacha waumie tu.

Wana hadhi gani ya kujibiwa na mii,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi umekumbwa na jambo ganiiii????
 
Nami nasubiri nione mwenye dau kubwa niweke la juu kabisa kama ile bid ya nyumba alizoweka dau la juu marehemu Dr Shika.
Anza tu, kama yupo mweny zaidi atakupiku.

Huna pesa wewe, wacha kupotezea watu muda.

mwanamme mwenye pesa atakuja kutongoza mtandaoni? Si anawatuma kina Lusungo wakamtongezee mitaani huko.
 
Wanivruge wataweza wapi?

Nawagaragaza hata waje elfu kwa wakati mmoja.


mipoyoyo hii isiyokuwa na akili ya kumtisha mtu. Unanchekesha!
Mtume nasikia alioa Binti mdogo mwenye umri karibia miaka 14, pia mtu mzima mwenye umri karibia miaka 50, nakupenda mama naomba nikupate ,haijalishi una umri Gani?
 
Mtume nasikia alioa Binti mdogo mwenye umri karibia miaka 14, pia mtu mzima mwenye umri karibia miaka 50, nakupenda mama naomba nikupate ,haijalishi una umri Gani?
Ulidannganywa, mtume gani huyo unamuogelea?


Pesa zako kunipata. Una dirham?

Wewe pesa za data zenyewe huna utakuwa na pesa za kunipata mimi? Hii gari kubwa, siyo ki passo hiki.


1688127116234.png



Haya, mambo hayo, tangaza ufalme.
 
Wewe huna akupendae, zinapendwa pesa tu, wacha kuongea kishoga.
Hela ipo ya kukutosha mtu kama wewe, labda kama una jingine.

Kuna Neno umetumia hapo mwishoni hata kulitamka siwezi...kwangu ni uchuro.
 
Hela ipo ya kukutosha mtu kama wewe, labda kama una jingine.

Kuna Neno umetumia hapo mwishoni hata kulitamka siwezi...kwangu ni uchuro.
kama una pesa pitia uzi uone wenzako wameishia ngapi, wewe uongeze walipofika.


Kama ni mwiko basi usilete lugha za kishoga.


Una pesa, weka dau lako hapa, huna, sepa. Sitaki kupoteza muda na mashoga wasio na pesa.

Time is money.
 
Back
Top Bottom