Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,973
- 54,101
Kikongwe
Inshaallah tupo ktk process za kutafuta mtoto wa kuasili.Umezaa watoto wangapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi mume wangu yuko humu anasoma, akiuliza huyo mtu ni shost angu kweli, najibu vipi? Na akati alikataa mashost wa JF hatakii.
Uachwe na nani wewe? Kuna shoga klikatosheka?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi mume wangu yuko humu anasoma, akiuliza huyo mtu ni shost angu kweli, najibu vipi? Na akati alikataa mashost wa JF hatakii.
Unataka niachikeee???
Sina uwezo wa kuzaa bibi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe huzai?
Wkasili ndiyo nini? Kuna kuasili zaidi ya kuzaa?
Mie natoshekaa, tangu niwe nae miaka 9 ilopita, sijawahi kum cheat, na haitokaa itokeee, nampenda mno mume wangu.Uachwe na nani wewe? Kuna shoga klikatosheka?
Ndoa ya shoga nayo ndoa, mfyuuuu, kununkishana choo kutwa kucha.Mie natoshekaa, tangu niwe nae miaka 9 ilopita, sijawahi kum cheat, na haitokaa itokeee, nampenda mno mume wangu.
Kaniheshimisha na kunipa furaha ya maisha yangu.
Hii tumuachie shehe kipoozeo wengine dabo diff hatuwezi
Ndoa ya shoga nayo ndoa, mfyuuuu, kununkishana choo kutwa kucha.
Waarabu wamekuharibu sana.Shindana dau na wenzako juu huko, wacheni vituko.
Ataepanda dau kubwa ndiyo yeye huyo.
Halafu siku hizi situmii shillingi kabisa natumia Dirhams.
Haya anza kupanda dau.