Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

ujue faiza mi ntakufa kwa ajili yako..na nakuhakikishia ukinikubalia ntakupa likes nyingi hapa JF,,hata ukiandika upupu ntakutetea na kukuunga mkono mpaka trako,,,,i will make sure you stand as a top of the topper girls(hapa nimetumia kingreza ili kukupa utisho na uone mimi kipanga)...pia ntahakikisha hakuna mtu wa kukupiga ban(ingawa mi sio moderator),,i lov you baby faiza,,baby mama,,senora,,babyface faiza,,,and i know you are hotter than the tropic ata vile sijawahi kukuona...today am yours(in enrique iglesias voice)...
Hizo nukta mara mbili, mara tatu, mara nne maana yake nini?
 
Nilikuwa nauona huu uzi bila kuusoma.Leo nimeusoma nimecheka sana.

Aiseee! Faiza mjanja mjanja sana.Mimi nacomment tu, usinichambe lakini.
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
nakutaka Faiza, nimekufa nimeoza, lets go on date sweet
 
Back
Top Bottom