bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,713
Una hera wewe?Yan nkiona t msg yako nywere znasimama mfano wa fagio chelew
u wap nkufate kimwana
nyota yang
sukari yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaBiashara naona imekolea Watumwa wanakugombania si kitoto, somethings never change, utumwa bado unaendelea hapa JF peke yake umeshajaza Meli tayari.
Anzalade kumtumbukizi sadakade chalii wetu wa chuga kachachaje dasalade +255 715 080 682Faiza foxy ndo huyo mimi sasa.
huwa nakupendade sade na sijawade kukutongode iwe mafrekechoni au hata kwenye uzi wowote ule.
Sasa leo nakuja live mchana kweupe mbele ya hilo likadamnasi.
Kama vepe unazimiaga machalide wa chuga unaweza kunipa hayo malovidavi nakuahidi kukupeleka ndichi ukale maisha.
Ukinikubalide naprint kuanzia chuga mpaka dasalade kama kina seti benjanide wakati wa azimio la arusha.
Kama vipi zama pm tuyajenge.
Sent using Jamii Forums mobile app