Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Mamalamama umechafukwa saa nane usiku unachat na michepuko wanaokutupia mitongozo kuntu.Nenda kalale uwai kuamka umpikie babu uji bhana.
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
una hela??
 
Nilikuwa wakwanza kuomba nyapu mpaka leo ujajibu na uzi sasa uko page ya 838 sema ulituma ukiwa na stress za Mume sasa omba admin aufunge maana mmeisha yajenga tuendelee na maisha mengine.
 
Nilikuwa wakwanza kuomba nyapu mpaka leo ujajibu na uzi sasa uko page ya 838 sema ulituma ukiwa na stress za Mume sasa omba admin aufunge maana mmeisha yajenga tuendelee na maisha mengine.
Anza kwa kutoa sadaka. Nikupe namba utume sadaka yako?
 
Back
Top Bottom