Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Mimi sina nyongeza zaidi ya ombi langu kule pm LA kutaka uwe ubavu wangu unipende nikupende uwe mboni ni we jicho tufurahie penzi kwa pamoja .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahhaaaaaa nimekuja kusoma comments [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kwa cheko hili my Dada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
wacheni=acheni huko shule ulisomea ujinga?🙄🙄
 
Siwezi bisshana na wazee, nakupuuza
Uzee dawa.

Unabisha nini na hapo tayari nimekuweka unapostahili?

Kila ndege anaruka kwa ubawa wake. Kunguru wewe unataka kushindana na mwewe?
 
Back
Top Bottom