Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,913
- 183,317
Akuu, nisije nikakosea masharti.Aah nguvu yake inakua ndogo sana, we njoo uone
Akuu, nisije nikakosea masharti.Aah nguvu yake inakua ndogo sana, we njoo uone
Akuu, nisije nikakosea masharti.
Kwa kweliJF is never boring - The Boss
Nakusokoa ww paka bb kizee la sinzaWatu wana mipingo nini muhogo. Kama huna hela sepa.
Ukitaka wanawake wa bure si unao kwenu? Huna mama? Dada? Shangazi?
Nitakusokoaa sokooaa sokoaa sokooaaa....Huna hela wewe utabaki hivyo hivyo na wabure, mama'ko na dada'ko.
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.
Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana
Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Jamaa boya Sana uyoMzee baba vipi mbona unaleta figisu bin kauzibe? Kumbuka wagombanao ndio wapatanawo. Wewe kama huwezi ingia kwenye ligi kaa pembeni.
Kabisa kaka boya kabisa , analialia kama mtoto mdogo.
Heshima kwako my dear,
Nilikuwa sikupendi but kwa sasa nakukubali na kukupenda.
Usiku mwema
Sent using Jamii Forums mobile app