Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Hakuna anaekutaka wewe
AlhamduliLlah hilo ndiyo nnaloomba na ndiyo sababu ya uzi huu.

Umeupitia uzi lakini? Umeshasomwa zaidi ya mara 31,000 kwa siku kumi tu.
 
Upweke ni kitu kibaya sana! Poyoyo la Lumumba linaomba kutongozwa.
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Utamu bado upo!
 
Nataka niwafundishe heshima na adabu ya kuheshimu nyuzi na mada za watu. Utakuta jukwaa la siasa mtu eti anakutongoza. Alaaa.
Kwa hiyo ndo umekuja kunianzishia uzi?
Anyway, nilichokua nikikuambia ni kua nakuona una points sana saa zingine, kuna vitu vingi yaelekea wavijua. Sasa basi waonaje tukikutana faragha one day tukabadilishana mambo mawili matatu?

Tukikutana sio lazima iwe tu siasa, hata stories zingine, maisha yanaendaje hapa mjini, familia, michezo etc. Nimeku admire sana dada yangu, I wish nikuone face to face tupate wasaa wa kubadilishana mawazo.

Infact itakua ni faragha, sio kwa matangazo kama ile ya "Shangazi" na "HKigwa", ni hayo tu ndo nlikua nakuambia pale.
 
Una hela wewe?
 
Back
Top Bottom