Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 6,157
- 7,822
Hapo ndiyo nashangaa mimi.
Watu wana nyege mshindo. Hao ndiyo ukisikia hata kuku wanabaka.
Nyege mshindo wapi Bibie?
Wewe sema una mume wako na nimekuona unawauliza hela vijana waliokurushia ndoano kama wana hela.
Hapa kikwazo ni kimoja tu kuwa tayari wewe ni mke wa mtu hivyo haiwezekani kwasasa kuwekwa ndani na mwanaume mwingine.
Mtume Muhammad alimuoa mke wake wa kwanza yeye akiwa na miaka 20s na Bi khadija akiwa na miaka 40s na wakati huo huo Bi khadija ndiyo alikuwa na Mali/utajiri.