Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Hii inaitwa Kupatwa kwa Bibi. Ukiona hivi ujue amezidiwa au ni stress tu za maisha ya awamu yetu Tano ambayo hakuna longolongo...Kazi Tu.. I love you Bibi Faiza Foxy
 
Bhas leo umeongeza kipimo cha kujifukizia...punguza.

Ila sipati picha ukiwa high...wajukuu wanakufurahia sana
AlhamduliLlah situmii uraibu wowote isipokuwa bangi tu tena siivuti huwa najifukiza ikiwa nimeichanganya kwenye udi wa mawardi. Nishai nazipata lakini.

Sifahamu kwanini Tanzania hawaruhusu bangi? Siku hizi my home away from home tunanunua dukani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Duu, hatari!
 
We mwarab koko wacha upuuzi wako hapa, nani mwenye akili timamu anataka kudate makombo ya mwarab?
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
nyingine changanya kwenye supu au mboga ni saaf saaana
emoji111.png

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshajaribu mboga yake, tamu kweli, niliipika kwa nazi. Gozi kila siku linaikumbushia.
 
Back
Top Bottom